4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

Angalizo kidogo: NJe ya mada....

Nimegundua suala la infi limeathiri vijana sana kiasi kwamba popote pale pakiwa na kundi la watu, hisia zao zinahama, hili itabidi tulishughulikie na nina mpango wa kumtafuta kansela awasaidie vijana, naona teamo amefikia stage four sasa na tusipomwahi tutampoteza kabisa

Lakini sometimes miwani zinasaidia:blah:
 
hangover imeisha ndo nagundua jinsi hii thread ilivyochakachuliwa

balaaah wallahi!!!
 
Angalizo kidogo: NJe ya mada....

Nimegundua suala la infi limeathiri vijana sana kiasi kwamba popote pale pakiwa na kundi la watu, hisia zao zinahama, hili itabidi tulishughulikie na nina mpango wa kumtafuta kansela awasaidie vijana, naona teamo amefikia stage four sasa na tusipomwahi tutampoteza kabisa

Teamo aachwe kama alivyo....HAWEZEKANI...
 
sijapata valuer labda njaa inanitia kizunguzungu,acha nikamuone bro asprin anaweza kunipiga ofa ya supu.

Queen unaniruhusu niisome hii posti yako kwa mawani yangu, au niiangalie hivyo hivyo na macho yangu yakiwa uchi?:llama::llama:
 
hangover imeisha ndo nagundua jinsi hii thread ilivyochakachuliwa

balaaah wallahi!!!

Kaka mambo ya uchakachuaji yana thread yake...hebu ka do the needful...

Hapa tuache tuendelee na logistics za infii!
 
Queen unaniruhusu niisome hii posti yako kwa mawani yangu, au niiangalie hivyo hivyo na macho yangu yakiwa uchi?:llama::llama:
hahahaaaa... huu uchokozi itabidi niufanyie kazi!!! terms and conditions apply....
 
Kaka mambo ya uchakachuaji yana thread yake...hebu ka do the needful...

Hapa tuache tuendelee na logistics za infii!
haya mkuu nakuachia logistics, i though haya mambo ya infii yanakua zaidi nje ya kamba, kumbe ni humuhumu ndani ya kamba

balaa
 
Ewaaa, yanaanza taratibu, hebu angalia hapa chini!! Halafu usimwambie n'tu!

Back
Top Bottom