4 The Ladies,if your BF/Husband Slaps U Whats your Best Reaction?

We jana ilikuwaje ukaikimbia signature?

Unywaji (hasa wa bia) hauhitaji meno, hata kibogoyo anakunywa!
!:pray2:

:fencing:....unamfahamu beki aitwaye Nemanja Vidic wewe?? Anacheza mpira wa miguu...timu yake yaitwa Man U....dah...sorry :closed_2:
 
Lionnel Messi kumbe yuko Majeruhi?:A S 13::A S 13:

Hahahaa.......kwa jinsi vidic alivyokamia hata ungekua na lionel messi, ronado, torez, dorgba na bebatov kwa pamoja isingesaidia...
 
ok ok ok, back to the mada, nikiwa nimevaa miwani ya mbao

jana nilisema ikuchapwa kofi muweke jamaa kibano... leo nabadilika (as always)
akikuchapa kibao wakati wa mabishano - lia kwa nguvu
akikuchapa kibao/kofi wakati wa mahaba - guna na kusikilizia kwa nguvu
akikuslap wakati hakuna mabishano au heated environment - shangaa tu
akikuslap akiwa amelewa - mpe maji anywe
akikuslap wakati umemfumania - mchape na yeye kibao

poa
 
kama ni BF huo ndo mwisho wa mahusiano, kama ni mme nakunyima mwaka mzima

Hebu uliza kama kuna ambae ishawahi kumsaidia....na pia uwe unaishi eneo lisilo na Da Sophy hata mmoja...:A S wink:
 
:fencing:....unamfahamu beki aitwaye Nemanja Vidic wewe?? Anacheza mpira wa miguu...timu yake yaitwa Man U....dah...sorry :closed_2:

Lionnel Messi kumbe yuko Majeruhi?:A S 13::A S 13:

Hahahaa.......kwa jinsi vidic alivyokamia hata ungekua na lionel messi, ronado, torez, dorgba na bebatov kwa pamoja isingesaidia...

na nyie mshaanza kucheza mpira kwenye Sredi ya watu...Kweli hizi vitu ziko damumi ..haya jana Arsenal ikawaje?
 
Mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia
Safi sana....hapo umebakiza kuingia mbinguni tu....:A S wink:
Sasa hapo si utakuwa umepigwa kote kote? Mungu hapendi! Au unazungumzia shavu lipi manake kuna shavu na kuna SHAVU!

FL1 huu usemi una maana nyingi sana sasa sijui ni kibao tu au hata na mambo mengine

Hivi kuna ambavyo vimeandikwa ila nashindwa kuvisoma?? Hii jumatatu bana...:A S tongue:
 
Akikujibu usisahau kunukuu mheshimiwa katibu...kwa ajili ya future plans:blah:

hahahaha nimemjibu naona anajaribu kufanya maana tofauti sijui nimsaidieje .....
Sasa hapo si utakuwa umepigwa kote kote? Mungu hapendi! Au unazungumzia shavu lipi manake kuna shavu na kuna SHAVU!
nazungumzia shavu kama shavu sio hilo unalojua wewe

FL1 huu usemi una maana nyingi sana sasa sijui ni kibao tu au hata na mambo mengine

naomba maana yake unayojua wewe The Finest te te te
Safi sana....hapo umebakiza kuingia mbinguni tu....:A S wink:

Hivi kuna ambavyo vimeandikwa ila nashindwa kuvisoma?? Hii jumatatu bana...:A S tongue:

Pale wateule watakapokuja kuchakachuliwa naamini mungu hataniweka pembeni ..are you happy now?:decision:
 
hahahaha nimemjibu naona anajaribu kufanya maana tofauti sijui nimsaidieje .....

nazungumzia shavu kama shavu sio hilo unalojua wewe

naomba maana yake unayojua wewe The Finest te te te

Pale wateule watakapokuja kuchakachuliwa naamini mungu hataniweka pembeni ..are you happy now?:decision:

FL1 nahisi uko na valuer pembeni hapo si kawaida haya majibu unayotoa leo ni kama vile memba ISC
 
Back
Top Bottom