AirTanzania
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 1,139
- 1,035
ID: Paw
Sababu: Kumkashifu Invisible
Duration: Life
===========
ID: PainKiller
Sababu: Kumzushia Uongo Mzee Mwanakijiji
Duration: Mpaka Mpangaji Wa Magogoni amalize muda wake au afukuzwe na wenye pango lao
==============
ID: Snail
Sababu: Kumtongoza Vivian & Jestina
Duration: Mpaka Invisible atakapo kuwa na Furaha
==============
Hii ni kuwafanya Mods wawe zaidi na Heshima kwa Members wenzao na huu ni mwanzo wa kuwaangalia kama kweli Kazi tuliowapa wanaiweza na wanaifanya kwa Busara na heshima sio Kwa kutumia Masaburi yao. Kuna baadhi ya Mods tutawafukuza na kuwatangazia Nafasi za u-Mods.
Kuna Mod 1 anaitwa PAW amepewa Life ina maana hamutaweza kumona tena hapa na Nafasi yake imeombwa na Faiza Foxy na tupo Busy nae kumu-interveiw.
Muwe na Amani ilimuweze kulitumia Jukwaa kwa Amani.
==================================
Matusi, Kupigana vikumbo kwenye post, kufichuliana siri, kumkashifu member mwenzako na kuleta habari zisizo na ukweli sio agenda ya JF na heshimianeni na pinganeni kwa Hoja sio kwa Vitisho na wala msitumie masaburi yenu kujibu hoja.
Shukrani kwa Kunielewa na PAW is no More in JF