4 Mods BANNED

AirTanzania

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
1,139
1,033
ID: Paw

Sababu: Kumkashifu Invisible

Duration: Life

===========

ID: PainKiller

Sababu: Kumzushia Uongo Mzee Mwanakijiji

Duration: Mpaka Mpangaji Wa Magogoni amalize muda wake au afukuzwe na wenye pango lao

==============

ID: Snail

Sababu: Kumtongoza Vivian & Jestina

Duration: Mpaka Invisible atakapo kuwa na Furaha

==============

Hii ni kuwafanya Mods wawe zaidi na Heshima kwa Members wenzao na huu ni mwanzo wa kuwaangalia kama kweli Kazi tuliowapa wanaiweza na wanaifanya kwa Busara na heshima sio Kwa kutumia Masaburi yao. Kuna baadhi ya Mods tutawafukuza na kuwatangazia Nafasi za u-Mods.

Kuna Mod 1 anaitwa PAW amepewa Life ina maana hamutaweza kumona tena hapa na Nafasi yake imeombwa na Faiza Foxy na tupo Busy nae kumu-interveiw.

Muwe na Amani ilimuweze kulitumia Jukwaa kwa Amani.
==================================

Matusi, Kupigana vikumbo kwenye post, kufichuliana siri, kumkashifu member mwenzako na kuleta habari zisizo na ukweli sio agenda ya JF na heshimianeni na pinganeni kwa Hoja sio kwa Vitisho na wala msitumie masaburi yenu kujibu hoja.

Shukrani kwa Kunielewa na PAW is no More in JF
 
Hivi PAW inaonekana ni moto mbona memba wengi wanamuongelea,enewei huyu Snail..Iwish ningejua kwanini alipenda hili jina,,
 
Snail ametokea Visiwa vya Comoro kwa hiyo hilo Jina wala lisikubabaishe na huyo Kobe mdogo ndio Chakula maarufu huko kwao Comoro wanachokipenda kwa hiyo akachagua hilo jina la Snail
 
PAW mshikaji watu na hakuna wa kumpiga ban.yeye katulia tu anausoma mchezo.tukana kwa bahati mbaya akulipue makusudi.ndo utajua banned or not.mia
 
JF is Safer for now, No More Trojan Horse (PAW) coz we have Spyware Doctor Special for PAW
 
ID: Paw

Sababu: Kumkashifu Invisible

Duration: Life

===========

ID: PainKiller

Sababu: Kumzushia Uongo Mzee Mwanakijiji

Duration: Mpaka Mpangaji Wa Magogoni amalize muda wake au afukuzwe na wenye pango lao

==============

ID: Snail

Sababu: Kumtongoza Vivian & Jestina

Duration: Mpaka Invisible atakapo kuwa na Furaha

==============

Hii ni kuwafanya Mods wawe zaidi na Heshima kwa Members wenzao na huu ni mwanzo wa kuwaangalia kama kweli Kazi tuliowapa wanaiweza na wanaifanya kwa Busara na heshima sio Kwa kutumia Masaburi yao. Kuna baadhi ya Mods tutawafukuza na kuwatangazia Nafasi za u-Mods.

Kuna Mod 1 anaitwa PAW amepewa Life ina maana hamutaweza kumona tena hapa na Nafasi yake imeombwa na Faiza Foxy na tupo Busy nae kumu-interveiw.

Muwe na Amani ilimuweze kulitumia Jukwaa kwa Amani.
==================================

Matusi, Kupigana vikumbo kwenye post, kufichuliana siri, kumkashifu member mwenzako na kuleta habari zisizo na ukweli sio agenda ya JF na heshimianeni na pinganeni kwa Hoja sio kwa Vitisho na wala msitumie masaburi yenu kujibu hoja.

Shukrani kwa Kunielewa na PAW is no More in JF

I beg to differ.Who has the point here? Kila mtu aongee and make their point known otherwise if you don`t let your point out while hiding in the internet where else will you do it.Nobody can claim moral high ground here, because the majority will not recognise that and that is a fact.I do not use bad language at all and I do not condone it either.
 
Paw's cacancy is being vied by Faiza Fox for replacement.
Huyu'bibi' hatotenda haki kwa sababu ya ujahidina wake.
Tumpinge jamani.
 
Back
Top Bottom