3D painting/drawing: Sanaa pande tatu

3D painting/drawing: Sanaa pande tatu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,898
Reaction score
828,489
Hii nayo ni tawi la sanaa danganyifu ya macho yenye kuakisi uhalisia ambao haupo.. Ni aina ya sanaa ya uchoraji ama upakaji rangi pande tatu (three dimensions)

Hii sanaa huweza kuifanyia michezo akili yako kupitia macho na kukufanya uone kitu halisi ambacho si halisi
Nchi za wenzetu waliowekeza kwenye hizi sanaa wameweza kuitumia kwa manufaa kwenye mengi hasa barabarani

Kwa mfano kuna mwanafunzi nadhani ni China aliwahi kubuni tuta bandia kwenye kivuko cha shule
Nitaweka picha nyingi ambazo kwa macho ya kawaida hutajua kama sio halisi
realistic art.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom