mwakweya70
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 414
- 106
360 Leo nimeona asubuhi mkishadidia na kuchambua uvaaji suti na kuonyesha picha za Seif Maalim,mkikosoa muonekano, hili halina afya sana, kitaaluma, ni kuingilia uhuru binafsi.... Sijui wengine mliotazama msaidieni kunipa picha halisi ya jambo hili kwa misingi ya uandishi wa habari.