Kwenye media kuna kitu kinaitwa "political satire" hususani kwenye hizo prime time show kama hiyo 360...ni katika kuhabarisha na kuchambua vitu kwa nia ya kuburudisha pia....hivyo format ya kipindi chao inawapa nafasi kubwa ya kusherehesha hata bbc wapo kwenye mchakato wa kuhabarisha huku wakipunguza seriousness lengo ni kuzifanya taarifa kufika katika mtindo rahisi...kumvuka trend ya media imechange na media kama clouds ni commercial oriented.360 Leo nimeona asubuhi mkishadidia na kuchambua uvaaji suti na kuonyesha picha za Seif Maalim,mkikosoa muonekano, hili halina afya sana, kitaaluma, ni kuingilia uhuru binafsi.... Sijui wengine mliotazama msaidieni kunipa picha halisi ya jambo hili kwa misingi ya uandishi wa habari.
Radio uchwara ndo mana zinakuwa na Habari Uchwara kutoka kwa Waandishi na Watangazaji Uchwara, Elimu zao ni ziro so wanatumia usanii usanii tu Vinginevyo Wapumbavu sanaradio na tv nyingi za burudani wanachoangalia ni lafudhi nzuri tu ya kutangaza basi. shule kwao sio muhimu.
Na kuwa na ukurasa insta...yaani inakera sana mtu anatangaza kitu mwisho anasema kwa taarifa zaidi nifollow instagram.Sasa anadhan kila mtu yuko na smartphone?Waziri husika, Dk. Mwakyembe mwezi Juni huko Bungeni alisema kuwa asilimia 90 ya watangazaji wa redio na Tv hawana taaluma ya uandishi wa habari (Makanjanja). Hao makanjanja wamejaa ktk redio na Tv binafsi maana ajira ya huko taaluma ni sifa ya nyongeza na ukanjanja ndio sifa ya msingi.
Vv
Na kuperuzi magazeti...yaan watu wa magazeti wakatafute habari...wao waje kuzichambua?CLOUDS ni wazee wa kutafuta story yoyote ile iimradi tu wapate wasikilizaji ambao wengi wao wanapenda habari za umbe umbea na vituko. Ni nadra sana kunikuta nasikiliza hizo habari hasa kipindi cha asubuhi ambapo napenda nipate habari za maana za kitaifa na kimataifa sasa clouds wao mda mwingi wapo kwenye comedy na matangazo.
Umeshindwaje kuweka picha ya huo uvaaji wa Maalim ili tuone kama Clouds360 wana hoja!!
ha ha ha haaa!! watz kumbe hawataki kusikia ukweli!! nimecheka sana mkuu!! ila mbona mawingu wanahoja!!!!View attachment 596819
Ndo hilo suti la maalim !