360 mawingu wameidadavua faini ya Musiba Tsh bilioni 6 kisheria, inashangaza kwa tusiojua sheria tunaweza kucheka

Leo nilipata wasaa wa kusikiliza kipindi cha 360 Mawingu ambapo alialikwa mwanasharia nguli na mwanasharia msomi mama Gloria Kahaya kutoka kituo kimoja cha kutoa haki za kisheria hapa nchini. Walikuwa wakijadili mambo ya ndoa na taraka lakini baadae bila ya kutegemea wakatumbukia katika hukumu ya mwanaharakati Spriana Musiba na Mzee Membe katika ile hukumu ya fidia ya B 6. Katika maongezi hayo ya kisharia walikuwa huru hata kutaja majina kwani kesi tayari imeisha na hukumu imetolewa.

Mwana mama huyo ambaye utaweza kujua kuwa ni gwiji la sharia alikuwa ameturia na mwenye sura ya mvuto akiongea kwa utaratibu na kufundisha vizuri utawezaelewa hata kama ujuia ofa and aseptansi. Na kila waandishi walipokuwa wanamdondoshea swali alilidadavua kwa weledi wa kisharia wa hari ya juu. Ndipo ilifika wakati wakamuuliza inakuwaje hukumu ya kesi ya Musiba kwani mtu huyo mmoja anadaiwa fidia na watu wawili jumla ya B 9 wakiwemo Karume na Membe.

Waandishi hao ambao walikuwa kama wambea hivi kutafuta ufukunyuku huku walitaka kujua inakuwaje mbona mzigo wa deni/fidia anaotakiwa kulipa ni mkubwa sana kwani kwa usawa huu ukikusanya kilakitu cha jamaa pamoja na gari, kama kuna kanyumba pamoja na vijisuti na kamera vyote hatoweza kulipa hilo deni sasa sharia inasemaje hapo? ni kama walitaka kujua wanaweza kugusa watoto na mke na kumtupa gerezani?

Mwana mama Gloria mwanasharia msomi yeye alianza kwa kusema hiyo kisharia inaitwa EMPTY DEGREE, akaendelea kusema empty degree ni wakati ambapo mahakama imetoa hukumu ya faini, kiasi hicho cha faini wanapokuja kukitafuta au kukusanya mali zote za mtuhumiwa ikiwemo kilakitu chake kama nyumba mpaka vijiko vya kabatini lakini inakuja kugundulika vinashindwa hata kulinusa deni au fidia hiyo ndiyo inaitwa digree tupu. Hivyo msitaki anashauriwa na mahakama kumuachia huru au afungwe.

Waandishi wa 360 wakazidisha umbea kutaka kujua sasa inakuwaje ataachwa mtaani au atatupwa lupango au vipi au ushauri kivipi. Mwana mama akawaambia kwa mujibu wa sharia za nchi yetu mtu akihukumiwa kwa makosa ya jinai na mengune ataweza kufungwa jela na serikali kumuhudumia huyo mfungwa kwa yote lakini katika kesi za madai ni yule anaye mshitaki (Membe) ndiyo anayo haki ya mtuhumiwa wake kwenda kutumikia kifungo gerezani kwa kuhakikisha anamlipia huduma zote kule gerezani kiwemo chakula cha asubui, mchana na jioni pia sabuni, dawa ya mswaki, kitanda, mashuka ya kujifunika, chumba, mafuta ya kupaka, nguo, dawa, matibabu akiumwa na vitu vingine ambavyo mfungwa atakuwa anaitaji kama kusoma magazeti.

Wote walibaki midomo wazi na kushangaa kwani sharia inasema kama utamchukulia mtuhumiwa vitu vyake vyote na havifikii ile fidia/deni, sharia inaamini kama ukimfilisi itakuwa haina maana kwani hatoweza kuendelea kulipa deni kwani atakuwa amebaki na makende tupu.

Hivyo haya nasema mimi, kama Membe anataka kumshikisha adabu Musiba inabidi azame tena mfukoni, na kama atataka ashike adabu kwa miaka hata 5 tu itambidi kwa viwango vya mchangani atoe kama milioni 70 hivi kumshikisha adabu iliasirudie tena kumchafua.
sharia? upo serius au unatania? manake nilikuwa nimejikunja kuusima mkeka wako lakini nilipoona hilo neno nikakudharau kabisa
 
Membe na Karume wamshikishe Adabu huyo Mwanaharakati Empty Musiba wamfunge tu hata miaka 10.
 
Mbona sasa ni kama hizi sheria zinamkandamiza mdai na kumfavor mdaiwa?
Hapa Ni kwamba Membe apige mnada wa kumfilisi musiba, hata alipata 50m aachane nae asimpeleke huko jela. Hii pia Ni adhabu Tosha kwa huyo mtukanaji.
 
kuna haja yakujifunza uchawi sasa...sasa jitu unalidai halafu linasumbua kukulipa na hata likifilisiwa mali zake haziwezi kulipa deni na linatamba tu huku uraiani unafanyaje sasa.....dawa kulipiga kitu cha kigoma tu liwe chizi yaishe....
Akifirisiwa alicho nacho Ni adhabu Tosha hata Kama hakifiki anachodaiwa.
 
Leo nilipata wasaa wa kusikiliza kipindi cha 360 Mawingu ambapo alialikwa mwanasharia nguli na mwanasharia msomi mama Gloria Kahaya kutoka kituo kimoja cha kutoa haki za kisheria hapa nchini. Walikuwa wakijadili mambo ya ndoa na taraka lakini baadae bila ya kutegemea wakatumbukia katika hukumu ya mwanaharakati Spriana Musiba na Mzee Membe katika ile hukumu ya fidia ya B 6. Katika maongezi hayo ya kisharia walikuwa huru hata kutaja majina kwani kesi tayari imeisha na hukumu imetolewa.

Mwana mama huyo ambaye utaweza kujua kuwa ni gwiji la sharia alikuwa ameturia na mwenye sura ya mvuto akiongea kwa utaratibu na kufundisha vizuri utawezaelewa hata kama ujuia ofa and aseptansi. Na kila waandishi walipokuwa wanamdondoshea swali alilidadavua kwa weledi wa kisharia wa hari ya juu. Ndipo ilifika wakati wakamuuliza inakuwaje hukumu ya kesi ya Musiba kwani mtu huyo mmoja anadaiwa fidia na watu wawili jumla ya B 9 wakiwemo Karume na Membe.

Waandishi hao ambao walikuwa kama wambea hivi kutafuta ufukunyuku huku walitaka kujua inakuwaje mbona mzigo wa deni/fidia anaotakiwa kulipa ni mkubwa sana kwani kwa usawa huu ukikusanya kilakitu cha jamaa pamoja na gari, kama kuna kanyumba pamoja na vijisuti na kamera vyote hatoweza kulipa hilo deni sasa sharia inasemaje hapo? ni kama walitaka kujua wanaweza kugusa watoto na mke na kumtupa gerezani?

Mwana mama Gloria mwanasharia msomi yeye alianza kwa kusema hiyo kisharia inaitwa EMPTY DEGREE, akaendelea kusema empty degree ni wakati ambapo mahakama imetoa hukumu ya faini, kiasi hicho cha faini wanapokuja kukitafuta au kukusanya mali zote za mtuhumiwa ikiwemo kilakitu chake kama nyumba mpaka vijiko vya kabatini lakini inakuja kugundulika vinashindwa hata kulinusa deni au fidia hiyo ndiyo inaitwa digree tupu. Hivyo msitaki anashauriwa na mahakama kumuachia huru au afungwe.

Waandishi wa 360 wakazidisha umbea kutaka kujua sasa inakuwaje ataachwa mtaani au atatupwa lupango au vipi au ushauri kivipi. Mwana mama akawaambia kwa mujibu wa sharia za nchi yetu mtu akihukumiwa kwa makosa ya jinai na mengune ataweza kufungwa jela na serikali kumuhudumia huyo mfungwa kwa yote lakini katika kesi za madai ni yule anaye mshitaki (Membe) ndiyo anayo haki ya mtuhumiwa wake kwenda kutumikia kifungo gerezani kwa kuhakikisha anamlipia huduma zote kule gerezani kiwemo chakula cha asubui, mchana na jioni pia sabuni, dawa ya mswaki, kitanda, mashuka ya kujifunika, chumba, mafuta ya kupaka, nguo, dawa, matibabu akiumwa na vitu vingine ambavyo mfungwa atakuwa anaitaji kama kusoma magazeti.

Wote walibaki midomo wazi na kushangaa kwani sharia inasema kama utamchukulia mtuhumiwa vitu vyake vyote na havifikii ile fidia/deni, sharia inaamini kama ukimfilisi itakuwa haina maana kwani hatoweza kuendelea kulipa deni kwani atakuwa amebaki na makende tupu.

Hivyo haya nasema mimi, kama Membe anataka kumshikisha adabu Musiba inabidi azame tena mfukoni, na kama atataka ashike adabu kwa miaka hata 5 tu itambidi kwa viwango vya mchangani atoe kama milioni 70 hivi kumshikisha adabu iliasirudie tena kumchafua.

Leo nilipata wasaa wa kusikiliza kipindi cha 360 Mawingu ambapo alialikwa mwanasharia nguli na mwanasharia msomi mama Gloria Kahaya kutoka kituo kimoja cha kutoa haki za kisheria hapa nchini. Walikuwa wakijadili mambo ya ndoa na taraka lakini baadae bila ya kutegemea wakatumbukia katika hukumu ya mwanaharakati Spriana Musiba na Mzee Membe katika ile hukumu ya fidia ya B 6. Katika maongezi hayo ya kisharia walikuwa huru hata kutaja majina kwani kesi tayari imeisha na hukumu imetolewa.

Mwana mama huyo ambaye utaweza kujua kuwa ni gwiji la sharia alikuwa ameturia na mwenye sura ya mvuto akiongea kwa utaratibu na kufundisha vizuri utawezaelewa hata kama ujuia ofa and aseptansi. Na kila waandishi walipokuwa wanamdondoshea swali alilidadavua kwa weledi wa kisharia wa hari ya juu. Ndipo ilifika wakati wakamuuliza inakuwaje hukumu ya kesi ya Musiba kwani mtu huyo mmoja anadaiwa fidia na watu wawili jumla ya B 9 wakiwemo Karume na Membe.

Waandishi hao ambao walikuwa kama wambea hivi kutafuta ufukunyuku huku walitaka kujua inakuwaje mbona mzigo wa deni/fidia anaotakiwa kulipa ni mkubwa sana kwani kwa usawa huu ukikusanya kilakitu cha jamaa pamoja na gari, kama kuna kanyumba pamoja na vijisuti na kamera vyote hatoweza kulipa hilo deni sasa sharia inasemaje hapo? ni kama walitaka kujua wanaweza kugusa watoto na mke na kumtupa gerezani?

Mwana mama Gloria mwanasharia msomi yeye alianza kwa kusema hiyo kisharia inaitwa EMPTY DEGREE, akaendelea kusema empty degree ni wakati ambapo mahakama imetoa hukumu ya faini, kiasi hicho cha faini wanapokuja kukitafuta au kukusanya mali zote za mtuhumiwa ikiwemo kilakitu chake kama nyumba mpaka vijiko vya kabatini lakini inakuja kugundulika vinashindwa hata kulinusa deni au fidia hiyo ndiyo inaitwa digree tupu. Hivyo msitaki anashauriwa na mahakama kumuachia huru au afungwe.

Waandishi wa 360 wakazidisha umbea kutaka kujua sasa inakuwaje ataachwa mtaani au atatupwa lupango au vipi au ushauri kivipi. Mwana mama akawaambia kwa mujibu wa sharia za nchi yetu mtu akihukumiwa kwa makosa ya jinai na mengune ataweza kufungwa jela na serikali kumuhudumia huyo mfungwa kwa yote lakini katika kesi za madai ni yule anaye mshitaki (Membe) ndiyo anayo haki ya mtuhumiwa wake kwenda kutumikia kifungo gerezani kwa kuhakikisha anamlipia huduma zote kule gerezani kiwemo chakula cha asubui, mchana na jioni pia sabuni, dawa ya mswaki, kitanda, mashuka ya kujifunika, chumba, mafuta ya kupaka, nguo, dawa, matibabu akiumwa na vitu vingine ambavyo mfungwa atakuwa anaitaji kama kusoma magazeti.

Wote walibaki midomo wazi na kushangaa kwani sharia inasema kama utamchukulia mtuhumiwa vitu vyake vyote na havifikii ile fidia/deni, sharia inaamini kama ukimfilisi itakuwa haina maana kwani hatoweza kuendelea kulipa deni kwani atakuwa amebaki na makende tupu.

Hivyo haya nasema mimi, kama Membe anataka kumshikisha adabu Musiba inabidi azame tena mfukoni, na kama atataka ashike adabu kwa miaka hata 5 tu itambidi kwa viwango vya mchangani atoe kama milioni 70 hivi kumshikisha adabu iliasirudie tena kumchafua.
Kwamba hujui tofauti ya Degree na Decree?

Hii ni aibu
 
Milioni 70 Membe atailipa tu ili amkomeshe
 
hakutoa ufafanuzi ni miaka mingapi anapaswa kukaa huko jela na kulipiwa akishindwa kulipa hilo deni?..... au na miaka unajichagulia mdai..?..

ninavyowajua wabongo na ugomvi wao na musiba, wanaweza kumwambia Membe achague 30yrs halafu wachange hela za kumlisha mfungwa Musiba for 30yrs...

😂😂😂
 
Kesi ya madai ndiyo ilivyo, bora mdai apate japo kidogo kuliko mdaiwa kufungwa, maana gharama zote zinazohusiana na mfungwa zinabebwa na mdai.
Lakini pia deni la mdaiwa linaongezeka kwa zile gharama zote atakazotumia mdai kuhakikisha mdaiwa wake anaishi vizuri huko lupango.
 
AN EMPTY DECREE..
Hii sheria inatumika sana katika mataifa ya wenzetu yalioendelea hasa kuwakomesha viongozi wabadhirifu,mafisadi na wavunjaji wa sheria kutumia madaraka yao.
Tofauti ni kwamba badala ya kuingia gharama za accomodation kwa ajili ta inmate jamii husika inapiga kura ya maamuzi "pertition" ndani ya muda uliopangwa kwa idadi ya kura kadhaa tajwa, basi kura zikitimia anafungwa kifungo kwa mujibu wa sheria zisipotimia ni suluhu kwake..

Kwanini pertition..
Wenzetu wenye siasa safi wanaamini kiongozi yeyote yupo kwa ajili ya kumtumikia mwananchi na kumwakilisha katika serikali yake So kwa sababu tu presence yake imepatikana kwa kura na vilevile atawajibishwa kwa kura..
Sipati picha hii hukumu kwa Tz tungekuwa tunapertit...
Nawasilisha.
 
Shule umetuongezea safi
 
Back
Top Bottom