35-45 yrs HIV positive man needed here

35-45 yrs HIV positive man needed here

Amesem Amesema 25 sio 22 wacha kukurupuka, kwani hawaoni wanafunzi wenzie mpaka atangaze umri anaoutaka, kwani hakuna wanafunzi wenye mika 35-45 kama wewe hauna vigezo basi usimvunje moyo mtoto wa watu.
Ndugu yangu ww ndio umekurupuka,
Mwanzoni huyo binti aliandika ana 22,
AmeEdit nakuweka 25,
Sasa kama hata miaka yake inamchenga, sijui itakuaje.
 
mimi nataka sababu za mwanamke kutaka kuolewa na wanaume umri sawa na baba zao, hiv nyie mabinti kwanin lakin? hiv mwadhani umri kuwa mkubwa na mwanaume anakuwa serious kwa ndoa? mwombe mungu akujarie mtu umtakaye
 
Sababu ni kua wanaamini kule kuna umakini mkubwa katika suala zima la mahusiano,
Huyo mbaba anakua ameshamaliza mambo yote ya ujana kwa hivyo wao ni kutengeneza maisha tu,
Wanajua kudekeza na kubembeleza,
Wanajua kutunza na kuhudumia,
Wana ushauri wa kimaisha,

Kingine kwenye jamii zetu pia huchangia, mfano binti wa 22 akimpeleka nyumbani wa 22 mwenzie au hata 25,
Watadharau na kusema "aaaghr toeni mapenzi yenu ya kitoto hapa"
Lakini akimpeleka jibaba la 40 hata 30
Utasikia "naam sasa hapo umepata, mtu ameshiba machoni, tuanze tu taratibu za ndoa"

Nadhani umepata mwanga kidogo.
 
LAKINI hata binti wa 22 si bado damu ya moto? ataolewa kwel
 
Hapo ndipo tunapoyumbishwa wanawake,
Tukiwa 20s ooh wadogo, hawajui usafi, hawana akili ya maisha, wakikua wataolewa n.k,
Tukiwa 30s ooh mzee, yake yamemuishia, tunataka vibinti vibichii unamtafuna taratibu, huyo mzee akacheze na wajukuu hukoo,
Tukiwa 40s ndio salaaalee! Yani ndio aonekana ni ajuza kabisa.

Sasa jamani tushike lipi tuache lipi?
 
mimi binafs am 27 but nahitaj mwanamke from 24 to 30 angalau, maana kwangu mwanamke namaanisha ukomavu wa akili sio ubichi wala urembo uliopitiliza
 
Back
Top Bottom