3 Idiots ya Aamir Khan

ushabiki tuweke kando...hivi kuna jamaa anaweza kumfikia aamir khan kucheza chizi...hiv kuna mtu kwel
 
amir khan kwa india naweza kusema ndo the best actor...
Shah Rukh khan ndo the best huyo jamaa unaweza kucheki movie hadi ukalia ukicheki Kabhi Khushi Kabhie Gham, My name is Khan, Kal Ho Naa Ho, Kuch Kuch Hota Hai, Kyola, Deewan

Sasa umkute jamaa ana teswa au analia penzi au tuseme ana nyanyswa na kunyanyapaliwa lazima upate hisia

Kwny comedy pia anapiga sana Chamatkar, Chennai Expressv


Action utamkuta Ra One , Don, Ashoka the great

Jamaa anapiga kila type ya movie na uhusika ana vaaa haswa
 
Mimi nilicheki nikiwa form one 2012
Nilipenda pale jamaa alivyowategea umeme wale jamaa wakakojolea hahaha.

Ila let it shine kwangu ndo kali ya 2012.
Nakubali...let it shine bonge la movie
 
Kuna movie yake ina toka mwenzi huu ya sharukhan ina itwa ZERO
 
point yang ni kuwa aamir khan yupo unique...scene za aamir khan ni ngumu kwa weng kuziigiza....ila comedy za sharh khan kila mtu anaweza kuzifanya
 
Hivi mnakumbuka definition yq machine aliyoitoa amir khanπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
point yang ni kuwa aamir khan yupo unique...scene za aamir khan ni ngumu kwa weng kuziigiza....ila comedy za sharh khan kila mtu anaweza kuzifanya
Ndio jamaa pia ana ubora wke kwny movie zke
 

two cows ideology - JamiiForums
 
Katika movie za kihindi ninazozienda zikiwekwa mezani 3 idiots haipo. Halafu wahindi movie zao za zamani ndio bomba sana
Duh hii utaielewa pale utakapoamua kuielewa ni hilo tu ipo kihisia na kihalisia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…