3 Bedroom House, toa changamoto!

Zamani hadi boma walijenga kwa mawe. Huko kwenu kuna udongo wa aina gani, kichanga, tifutifu au mfinyanzi?
Kichanga
Ardhi ya hapo una mawe mengi chini pagumu balaaa
 
Gharama
 
Nimejaribu na mimi kwa kutumia archicad, mnaweza toa maoni pia.

Samahani mwanzilishi mada kwa kuvamia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]View attachment 2272073
Tubajifunza wote mkuu, its okay kuiweka hapa ili tuzidi kujifunza.

Mimi naiona iko poa, mpangilio mzuri..naona kosa moja tu la kutoweka washroom ya wapitanjia, nimeona public toilet lakini ipo mbali mno kwa mgeni wa kuja na kutoka...unless kama utajenga washroom ya nje.
 
Noted, ngoja nione tunaiwekaje sawa.
 
Hakuna ramani hapo ni uchafu tuu.
Ramani ya nyumba kubwa peleka wazo kwa wataalamu wakuchoree usiingilie fani za watu kabisa.
 
Hakuna ramani hapo ni uchafu tuu.
Ramani ya nyumba kubwa peleka wazo kwa wataalamu wakuchoree usiingilie fani za watu kabisa.
Positive criticism ndio nilitaka mkuu, ukisema hamna ramani toa opinion yako. Huwezi jua utaalam wangu ni nini mkuu. Nilitaka insights za watu.
 
Nimeanza kucheka kwanza....kuna mtu atasema 'chumba cha watoto wa kiume na kike visipakane na chumba chako kisitazamane na vyumba vya watoto' nawaza kwa sauti tu!
Ana mantiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…