3 Bedroom House, toa changamoto!

Store ( kitchen store ) mbona ipo nje mkuu?
Kwamba mtu kuchukua Unga store mpaka....
Utoke kwenye Verandah? Au nimeelewa vibaya?
Kwamba sio kitchen store.....

Pia atakayechora isometric ya water supply.....
Na waste water atapata tabu kidogo.
 
labda uongeze chumba kimoja Cha wageni watoto walale tofauti
 
Good analysis. Nimependa mchanganuo huu, na imenipa mawazo mazuri
 
Kabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe..[emoji116]View attachment 2240747
Rafiki yangu ERoni hebu weka vipimo vyote kila chumba na upana na urefu wa nyumba nikufanyie marekebisho machache niliyoyaona kuanzia store na walk away kaka
 
Rafiki yangu ERoni hebu weka vipimo vyote kila chumba na upana na urefu wa nyumba nikufanyie marekebisho machache niliyoyaona kuanzia store na walk away kaka
Hizi ndio mambo zako nini mkuu Glenn.?

Sio mimi ninqyeichora, kuna jamaa alisema ataitengeneza kwa vipimo..sijui amefikia wapi mzee
 
Sawa,hivi msingi wa mawe na wa tofali upo mzuri?
Msingi wa mawe ukipata mtaalam wa kuyapanga na kuyaweka vizuri naamini ni imara zaidi. Muhimu anayejenga huo msingi awe vizuri. Huko kwenu mwanza si mawe kama yote.
 
Msingi wa mawe ukipata mtaalam wa kuyapanga na kuyaweka vizuri naamini ni imara zaidi. Muhimu anayejenga huo msingi awe vizuri. Huko kwenu mwanza si mawe kama yote.
Eee mi nimejenga msingi wa mawe
Yapo mengi sana
 
Eee mi nimejenga msingi wa mawe
Yapo mengi sana
Mawe ni ujenzi uliozoeleka enzi na enzi lkn mawe yanafaa zaidi kwa floor na sio msingi.
Japo ukipata mjenzi mzuri haina tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…