3 answers men are afraid of!

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Messages
8,609
Likes
54
Points
145

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2009
8,609 54 145
1. (Whatever)

Men: What to have for dinner?
Women: Whatever...

Men: Why don't we have steamboat?
Women: Don't want, once i ate steamboat and later got pimples on my face.

Men: Alright, why don't we have Si Chuan cuisine.
Women: Yesterday we ate Si Chuan, why eat it today again?

Men: Hm..... I suggest we have seafood
Women: Seafood is no good, i ate it once, then later I got diarrhea.

Men: Then what you suggest?
Women: Whatever..

2. (Anything)

Men: So what should we do now?
Women: Anything

Men: How about watching movie? It's been a Long time since we
watched movie.
Women: Watching movie is no good, it's waste time.

Men: How about bowling, or do some exercises?
Women: Exercise in such hot day?

Men: Then let's find a cafe and have coffee.
Women: Drinking coffee will affect my sleep

Men: Then what you suggest?
Women: Anything

3. (You decide)

Men: Then we just go home
Women: You decide

Men: Let take bus, I will accompany you
Women: Bus is dirty and crowded. I don't want.

Men: Ok we will take a Taxi
Women: Not worth it... for such a short distance

Men: Alright, then we walk.
Women: What! Walk with an empty stomach?

Men: Then what you suggest?
Women: You decide

Men: Let's have dinner first
Women: Whatever...

Men: What to eat?
Women: Anything
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
335
Points
180

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 335 180
All Earthly women are of the same parent!

Usiombe wacharuke hawa, wana majibu hao..!

Sa majibu kama hayo si mtu unapata hasira, unaSABABISHA la kusababisha, na kufungwa, jamani?
"....Kaeni nao kwa akili...."
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,938
Likes
205
Points
160

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,938 205 160
All Earthly women are of the same parent!

Usiombe wacharuke hawa, wana majibu hao..!

Sa majibu kama hayo si mtu unapata hasira, unaSABABISHA la kusababisha, na kufungwa, jamani?
"....Kaeni nao kwa akili...."
Kaka mi naona bora awe na majibu ya 'utumbo' kuliko huyu wa kwangu, siku akiamua kila nikimsemesha hajibu lolote, ananikodolea mimacho kama picha.
Basi huwa natamani nimtwange kichwa cha pua.
Hawa viumbe bwana, Kaazi kweli kweli.
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
335
Points
180

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 335 180
Kaka mi naona bora awe na majibu ya 'utumbo' kuliko huyu wa kwangu, siku akiamua kila nikimsemesha hajibu lolote, ananikodolea mimacho kama picha.
Basi huwa natamani nimtwange kichwa cha pua.
Hawa viumbe bwana, Kaazi kweli kweli.
Broda, angalia sana hapo kwenye nyekundu...utapata matatizo bure, na mipango yako iharibike!...

tena ukimtoa meno ya barazani ghafla anapata 'bush-lawyers' na watetezi kibao ambao wanakuandalia mtambo wa matatizo..huh!
 
bht

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
10,341
Likes
212
Points
160

bht

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
10,341 212 160
Kaka mi naona bora awe na majibu ya 'utumbo' kuliko huyu wa kwangu, siku akiamua kila nikimsemesha hajibu lolote, ananikodolea mimacho kama picha.
Basi huwa natamani nimtwange kichwa cha pua.
Hawa viumbe bwana, Kaazi kweli kweli.
hahaaaaa raha sana!!! huyo ndo mwenyewe
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,310
Likes
38,165
Points
280

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,310 38,165 280
Ukitaka kujua mwanamke ni nani utaishia kukasirika.
Kuishi nao kwa akili ni kwamba wakichukia, basi kuwa mpole na uonyeshe kuwa mna share machungu pamoja, pia hakikisha asikuone kuwa wewe ndio source ya hiyi hali.
Wakifurahi hakikisha kuwa aone kuwa wewe chanzo cha furaha yake, only dat.
 
WomanOfSubstance

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Messages
5,465
Likes
78
Points
0

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
Joined May 30, 2008
5,465 78 0
All Earthly women are of the same parent!

Usiombe wacharuke hawa, wana majibu hao..!

Sa majibu kama hayo si mtu unapata hasira, unaSABABISHA la kusababisha, na kufungwa, jamani?
"....Kaeni nao kwa akili...."
Kaka mi naona bora awe na majibu ya 'utumbo' kuliko huyu wa kwangu, siku akiamua kila nikimsemesha hajibu lolote, ananikodolea mimacho kama picha.
Basi huwa natamani nimtwange kichwa cha pua.
Hawa viumbe bwana, Kaazi kweli kweli.
Ukiona kakaa kimya ina maana majibu yote hayo hayakufai we jiondokee tu kapumzishe mawazo

Wakaka nyie!
Hivi mlilazimishwa kuwaoa? Si ajabu wenyewe mlijitahidi kwa kila mbinu hadi mkawapata halafu leo mnawatupia madongo.
Ukweli ni kwamba ndoa si mchezo .Ni kifungo kwelikweli! Kuna mfungwa anapenda jela? Unachopaswa kufanya ni kuhakikisha zile sheria na kanuni za kukaa jela unazifuata barabara.Pia jijengee mazingira ya kufurahia kifungo hicho maana unapoweka hasira na lawama ndio kifungo kinazidi kuwa kichungu.
 
kisasangwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
294
Likes
1
Points
33

kisasangwe

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
294 1 33
i sapozi kua adam alishindwa kukaa na hawa kwa akili matokeo yake wakapewa adhabu ambayo hadi leo inatukost.lakini ukiwaza sana kama mke alitoka kwenye ubavu wa mume basi mume ndie chanzo cha yote,labda ukipata ambae kafyatuka ujue wewe ndo part yake kubwa soooo you deserve it men.
hahahahahahahahah:mad:
 
Forum statistics

Threads 1,203,472
Members 456,787
Posts 28,114,626