Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Nani anastahili kuwa greatest rapper of all time kati ya hao?
wote nawapenda sana, ila Pac kitu ingine.
Nimeamini maisha yako kasi sana yaani leo 2Pac anapimwa uwezo wake na Eminem?duh tafuteni hata interviews za Eminem msikilize yeye 2pac anamzungumziaje.
Hivi sababu kafa au ni nini yaani???!!!!
Tupac ni wa kukaa mzani na Eminem kabisa?????!!!!!
Please!!!!!!!!!
umekariri mzee
Sijui anamchukuliaje Eminem
Jaribu kuonyesha unajua unacho-compare kwanza u cant be serious Pac na Eminem rudi kasikilize joints kwanza cheki documentaries na soma habari za 2pac toka sources mbalimbali alafu uone kama utathubutu kurudi na hizi trash c'mooooon guys hao kuku wenu kama Eminem wana rap cuz the man himself the Late Shakur aliwakua ana-rap otherwise wasingekuta foundation usijaribu kumchulia Pac kirahisi unaonyesha huu utamaduni umeudandia kama vipi cheki ni nini Eminem anasema kuhusu huyo baba ake unaemlinganisha nae.
Hizi comparison mfanye kati ya dogo flani na mwenzie.
OVER...!
Ni sawa na ulinganisho wa mwalimu na mwanafunzi ilihali ukijua mwanafunzi ni mwanafunzi tu!
Mkuu ulinganisho wa rap ni ngumu kulinganisha sehemu moja na nyingine sababu rap ni maisha so inategemea mtu zile lyrics zinagusa maisha yake kiasi gani! !!!!!!!!Watu mnashangaa huu ulinganisho wakati kwa wenzetu huu ulinganisho ni common kabisaBOFYA HAPA