2Pac Shakur - Hip hop giant legacy thread

2Pac Shakur - Hip hop giant legacy thread

Haha me nina dedication for all ladies waskilize i'd rather be yo nigga
 
Kwa ile power ya kurap na uwezo wa ku-battle cats of the whole industry Tupac angepata epic fail very very soon
 
Cjaona track mbaya ya pac asee

Ila gradually alikua ana run out of the relevant materials...

He was runnin out of energy,beefs zilikua zinammaliza nguvu,asingeweza kubattle the whole world...u can never run ur mouth against the whole world,hiyo energy haipo,

Michael jackson aliishiwa materials pia,sembuse Pac?
 
Californiaaaa love ktk all eyes on me

hii kitu ilikuwa balaa, ni moja ya nyimbo iliyopiga tambo kubwa sana ya mafanikio kwa 2pac,
ni kati ya nyimbo iliyotungwa na kutengenezwa ndani muda mfupi sana (1 hr) na kuvunja kisha kuweka record ya kukaa muda mrefu sana kwa chart za U.S.A.
Ni wimbo uliomtambulisha Dr. Dre ni mwimbaji na zaidi ya producer
kupitia wimbo huo c.love na U CAN'T C ME uliitangaza sana albam ya Dr. Dre the clonic na kumuongezea mauzo
calfornia love umetoa zaidi ya version 4 huku ukichagizwa na mpiga kinanda trouthman, kile kinanda kilipendwa hata na wazee wa umri wa miaka 70 na kuondoa hisia za hip hop ni uhuni.
 
wazungu wanamuita Eminem 'Rap God', ni kweli Eminem kapita uwezo wa kina Jayz,Nas,Pac?
 
nilianza kumsikiliza mnyamwezi enzi niko la saba na nilipoingia sekondari ndio nikadata zaidi na mnyamwezi.

Nakumbuka nilishaomba mkwanja wa kupigia pepa tuition wakati nilikuwa naenda kununua casette "all eyez on me vol 2" wakati huo Shs. 700 au 800 kama sikosei, 1997 hiyo!
 
They call hivo sababu ya statistics za kimauzo hakuna aliyeuza zaidi ya eminem

Kwenye hiphop genre Eminem yupo ahead of everyone else kwenye statistics za mauzo...

Kwenye hiphop busines I guess Dre is ahead of everyone else

Kwa mega superstar alie transend the whole industry musically and businesswise na longevity Jay-Z is God....

Kwa aina ya muziki wa kiharakati wa Tupac au Nas ungekua irrelevant now..Jay au Em angeweza wa-trump all of them put together!
 
Haha me nina dedication for all ladies waskilize i'd rather be yo nigga

hii ngoma alifanya na rafikie aitwae rich rich, kazi zake ziliibua vipaji vingi sana watu kama big sykes(all eyes on me), kadaf na kundi zima la OUTLAWS, wallen g (God bless the dead) nk baadhi yao wapo mpaka leo lakini toka huyu mchizi kasepa uwepo wao kwenye game umekuwa ...............!!
Yaani mpaka na boss wake mario suge knight
........ Akaifuta Death raw akaja kwa mbwembwe nyingi na Tha raw mpaka leo wapi.

Ah ah jamaa amekufa na urithi wake
 
wazungu wanamuita Eminem 'Rap God', ni kweli Eminem kapita uwezo wa kina Jayz,Nas,Pac?

huyo Mzungu kichaa ni mbaya sana aisee! si ajabu ukimpa feature kwenye ngoma yako anaifanya ionekane yeye ndio amekupa wewe feature yaani anakumeza!
 
hii ngoma alifanya na rafikie aitwae rich rich, kazi zake ziliibua vipaji vingi sana watu kama big sykes(all eyes on me), kadaf na kundi zima la OUTLAWS, wallen g (God bless the dead) nk baadhi yao wapo mpaka leo lakini toka huyu mchizi kasepa uwepo wao kwenye game umekuwa ...............!!
Yaani mpaka na boss wake mario suge knight
........ Akaifuta Death raw akaja kwa mbwembwe nyingi na Tha raw mpaka leo wapi.

Ah ah jamaa amekufa na urithi wake

Ivi mbona naskia suge night anafungwa
 
mtu akifariki watu wanaanza kumfuatilia,but pac hawezi kuwa zaidi ya snoop dogg

Ata kabla hajafa alikua zaid ya snoop...snoop mwenyew anasema akuna kama pac wala hatotokea kama pac
 
wazungu wanamuita Eminem 'Rap God', ni kweli Eminem kapita uwezo wa kina Jayz,Nas,Pac?

kende 'wazungu' wana haki kumuita hivo
hakuna rangi nyeupe inayochana mistari kama huyo lakini makaveli hiyo ni habari ingine kabisa.
 
Last edited by a moderator:
nilianza kumsikiliza mnyamwezi enzi niko la saba na nilipoingia sekondari ndio nikadata zaidi na mnyamwezi.

Nakumbuka nilishaomba mkwanja wa kupigia pepa tuition wakati nilikuwa naenda kununua casette "all eyez on me vol 2" wakati huo Shs. 700 au 800 kama sikosei, 1997 hiyo!

Mkuu ilikuwa ni jero.
 
Una uhuru wa kutoa maoni lakini hujui muziki.

Peter Tosh hawezi kuwa zaidi ya Bob Marley hata iweje na Snoop Doggy hawezi kuwa zaidi ya 2pac hata iweje.

2pac ndio muhasisi wa double cd kwenye all eyes on me na ndio mwanamuziki aliyekuwa anatoa zaidi ya nyimbo 16 kwa cd moja. Ongea mengine 2pac ni shughuri nyingine, amekufa mwakaw1996 lakini mpaka leo nyimbo zake zipo juu na zile alizoandika bado zipo nyingi maktaba.

Mwambie atafute song moja linaitwa my block,ngoma ina verse nyingi na ujumbe mzito.
 
Back
Top Bottom