2Pac Shakur - Hip hop giant legacy thread

2Pac Shakur - Hip hop giant legacy thread

Did u hear about the ROSE THAT GREW FROM A CRACK IN THE CONCRETE?Proving natures laws wrong it lean to work without having feet,funny it seems but by keeping its dream it lean to breathe fresh air, long live the rose that grew from concrete when no1 else even cared! Tupac
 
Kwanza kabisa MS-13 (most salvadorians) nj tofauti kabisa na Florencia-13 ni gang mbili tofauti (siyo gang moja)..

Na unaposema kuwa gang zipi ethinical based, inawezekana kwa hizi white gangs..but MS-13 wana sets central America ambazo zina blacks, hispanic and Asians pamoja na whites..LA kuna rivaly kubwa sana kati ya MS-13 na crips pamoja na Bloods ndo maana huwez kukuta a Nigga katika MS-13..and abive all kati ya sets zaid ya 600 za Crips nationwide kuna mchanganyiko wa latinos, asians, whites etc na wapo mpaka L.A (hiyo haina kificho kwa crips)..kuna mchanganyiko wa races lakin African-America ndo wamechukua part kubwa!!!

Kaka me kuhusu kifo cha PAC nilifatilia sana na ishu ya kuhusishwa kwa baby lane kwenye kifo cha PAC ilinifanya nifatilie sana hiz Gangs..

Crips japokuwa imeanzishwa kwenye 1960's lakin ilikuja kuimarika na kuwa popular zaid 1990's mostly 1999 ambapo sets ziliongezeka, members waliongezeka na Associates waliongezeka...na imegenerate members zaid ya 32k kuanzia 1999-present..lakin kipind PAC anauwawa *crips* haikuwa na mtandao na associates na sets wengi kama ilivyogain power kubwa nationwide kuanzia 1999...

PAC was just a THUG aliyekuwa anawakilisha niggaz wa kwenye projects hakuwepo Crips wala bloods..japokuwa kuna wapenda nadharia kama wewe wanadai PAC alikuwa bloods..na PAC alimpiga baby lane kwasababu ya kile alichoambiwa na associate wake ambaye alikuwa victim na ishu za kina baby lane...lakin *crips* HAWAKUHUSIKA na kifo cha PAC (me siishi kwa nadharia)..

Hapo kwa Baby lane kwenda MGM kuangalia pambano la TYSON umenichekesha sana! A nigga who lives for selling drugs, robbery, trafiking etc ashindwe kwenda kuingia MGM kuangalia pambano??? (kwa ticket price range ambayo inaanzia $324, $216, $111, $59???)...kwan ni lazma akate tiket ya $300+?? Wakat kuna tiket za $50+ mpaka $100+?? (tena without taxes and extra fees??)..

Acheni kuongopea watu kihivyo jaman!!!

Ukiachana na theory ya Russel poole kwamba SUGE na associates wa deathtrow walihusika na kifo cha PAC na kushirikiana na LAPD kuficha siri ya mauaji....mwaka 2006 Snoop Dogg alimtuhumu SUGE kuhusika na mauaji ya PAC, upande mwingine tunaambiwa BIG na BadBoys (akina P.DIDY) walihusika na kifo cha PAC..etc na LEO kuna watu humu mnasema PAC aliuliwa na CRIPS..

So tumwamini nani?? kina Russel poole (watu kama hawa ndo wapo wengi sana)..tumwamini SNOOP DOGG (mwanae PAC)..tuwaamini waliosema PAC was killed by BAD-BOYS??? AU tuwaamini watu wa JF humu wenye uhakika kuwa PAC was killed by CRIPS????

HITIMISHO hapa ni kwamba hizo zote ni theories tu..tunahitaj official statement!!

Sasa gang yenye members 32K utaiitaje ndogo? That was my point.

Kila mtu anajua kuwa Pac hakuwa affiliated na gang yoyote hivyo kifo chake sio gang related wala Crips hawajawahi kutuhumiwa kumuua Pac.

Kuhusu Anderson kwenda Las Vegas, ndio maana nimekuuliza unajua maana ya broke ass nigga? Mtu anayejihusisha na drug traffiking na aina nyingine za criminal enterprises unamuitaje broke ass?

Ni Wapi mimi nimesema Pac aliuliwa na Crips?

Hizo nadharia zote mimi nazijua, tatizo langu kwako ni kwanini una-eliminate nadharia ya Baby Lane bila kuleta ushahidi kuwa hakumwua Pac?

Mwisho umemalizia vizuri kuwa hizo zoote (ikiwamo ya Baby Lane) ni nadharia tu.
 
Nimejaribu kupekuapekua comments mbalimbali kwenye forums mbalimbali watu wakijibu who is the greatest rapper of all time, watu wengi wanampa NAS namba 1
 
Nimejaribu kupekuapekua comments mbalimbali kwenye forums mbalimbali watu wakijibu who is the greatest rapper of all time, watu wengi wanampa NAS namba 1

Dedication to you mkuu: ''My Book of Rhymes'' by NAS
 
Getto Gospel, Dear Mama, Smile, It Ain't Easy. hizo ndo my best tracks of PAC
 
Crazy,lil homies,better days,mama told ya',how long,kuna ile ngoma kafanya na dramacydal sijui inaitwaje.....nyimbo nyingi hapo wadau hamzijui ukiihitaji nishtue
 
Beefinjector na MosDef pac hakuuliwa na crips as a mission, Pac aliuliwa na member wa crips kama solo project,baby lane aliwahi kusikika akijisifu kuwa "he put down makaveli" lile tukio lilitokea haraka sana na ndio msingi wa watu wote kukataa kuwa baby lane hakuhusika ukiangalia nadharia zote ya baby lane naipa 99.99% he was Pac killer,ndio maana mama yake 2pac alimfungulia kesi....
 
sasa kwanini police hawakumtia nguvuni
 
sasa kwanini police hawakumtia nguvuni
Police walimkamata Baby Lane,na wakamuhoji, lakini kukakosekana ushahidi wowote
kumbuka sheria za gangmembers ni kutokutoa ushirikiano kwa police,kwahiyo wakamuachia
huku wakiwa wanamchunguza,baby lane alikuja baadae kupigwa risasi na kufa kwenye carwash moja
kwenye tukio ambalo halihusiani na Tupac,baada ya kufa mama yake Tupac alimfutia case,pia kumbuka
mjomba wake Baby lane alikua anamiliki cadilac nyeupe,na ilikua jijini las Vegas siku ya tukio.
 
sasa kwanini police hawakumtia nguvuni
ol.jpg
 
Hii ni kwa wale wote mashabiki na wapenzi wa legendary Tupac shakur
katika uwepo wake wa muda mfupi sana (miaka 5) ameweza kufanya mambo makubwa sana si kwenye music tu bali hata kwenye filam na mambo mengine ya kiharakati na kuwazidi hata wale aliokuwa nao na bado wanaendelea kufanya mziki kuacha wale upcomers artist.

Takriban ni miaka 19, je ni kipi toka kwake hutokisahau, ni filam gani unaikumbuka toka kwake (above the rim, gridlock)
ni nyimbo gani unaipenda toka kwake na uwezi sahau kwenye playlist yako hip hop
FUNGUKA

cc TUPACified
 
Last edited by a moderator:

shukrani bro. Binafsi wakati Pac anakufa nilikuwa simjui kabisa, sijui muziki wala chochote. Nilivyokua ndio nilimsoma jamaa na game yote kiundani.

Filamu ya Pac nayoikumbuka sana ni 'Poetic Justice', kwa sababu moja, ali-enjoy sana ye mwenyewe kwanza, kufanya kazi na Janet pamoja na mizengwe yote. Mbili, baada ya kufanya 'Juice' kulikuwa na watu wanam-paint Pac kama Bishop, character aliyemcheza. So John Singleton alimpa nafasi ya kuonyesha upande ambao maadui zake kamwe hawataki ujulikane.

Upande wa ngoma, hizi kwa sasa ndio 5 nazozikubali zaidi.
Ambitionz az a rydah:attitude and energy nyuma ya hii ngoma ni noma sana. Hii nadhani ndo ilikuwa ya kwanza baada ya kutoka jela.
'so many battlefield scars, while driven in plush cars/ this life as a rapstar, is nothing without heart/'.

Thugz Mansion: Humu Pac alielezea maana halisi ya Thug Life yake, na Thug ni mtu wa aina gani. Hii ngoma ina hekima za kutosha, pia anaelezea ni jinsi gani alikuwa anapitia majaribu mengi ikiwemo kutaka kujiua na mambo kama hayo. Cha muhimu zaidi, jamaa alikuwa anaamini.
'dear Mama don't cry, your baby boy is doing good/ tell the hommies i'm in heaven, and they ain't got hoods/'

Ghetto Gospel: Hekima za kutosha kwenye hii ngoma arif, sihitaji hata kuielezea zaidi.

Changes: The prophecy kwenye hii ngoma ni noma. 'cops give a damn about a negro, pull the trigger, kill a nigga, he's the hero'. Angalia yaliyotokea kwenye issue ya Zimmerman na yaliyotokea Ferguson.

Untouchable (Swizz' rmx) - Swizz alimtendea haki na hiyo beat, Krayzie Bone akaitendea haki verse yake. 'blast me, but never ask me to live a lie/ am i wrong, coz i wanna get it on til i die?/'.
 
pamoja sana mkuu Tupacified kwa ufafanuzi na maelezo ya kina, binafsi nimepata kitu toka kwako
japo ni mtoto wa jana (jokes)
Wadau hapo juu wametoa michango yao kuhusiana na kifo cha 2pac na nani ali-mastermind mchezo mzima na kwa maslai ya nani? au jamaa binafsi alikuwa troublemaker hivyo alijitengenezea kifo chake yeye mwenyewe?

Maisha yake ya ku-hustle ni taswira halisi ya nyimbo zake unadhani hilo pekee inaweza kuwa ndio siri ya mafanikio yake kimuziki?

Funguka mkuu uwanja wako huu
 
Back
Top Bottom