yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,778
- 1,222
Nilikuwa nazipenda sana movie zake poetic justice na above the rim nyimbo zake dear mama, changes, california love karibia zote kwa kweli!
Nakumbuka na ile style yake ya kuvaa kitambaa kichwani ikawa ndo swagger kwa mabrothermen mjini
ulale unono mama yake na p na kitu cha mamas just a litle bit by pac
Last edited by a moderator: