2Pac Shakur - Hip hop giant legacy thread

KWENYE BLUU
Kwanza ku-convict mtu sio kazi ya Polisi, wao kazi yao ni kupeleleza tukio na wakipata ushahidi wa kumshitaki mtu hufungua kesi, baada ya hapo mahakama ndio ina uwezo wa kumtia mtu hatiani (convict) au la. Pili ili kum-convict mtuhumiwa ni lazima kuwe na ushahidi wa kutosha, waendesha mashtaka hawawezi kwenda mahakamani ni kumwambia Jaji "mtu huyu ameua apewe adhabu ya kifungo cha maisha", wanatakiwa kupeleka ushahidi utakaothibitisha kuwa mtuhumiwa ametenda kosa hilo.

Polisi walishindwa kumshtaki yeyote kwa kifo cha Pac kwa sababu watu wote waliokuwa na uwezo wa kuwasaidia Polisi walikataa kutoa ushirikiano. Hao ni pamoja na Suge Knight mwenyewe na crew ya Pac (The Outlaws) ambao walikuwa pamoja wakati tukio linatokea, kila aliyekuwa akihojiwa aligoma kutoa ushirikiano na kama unakumbuka Suge alisema hata kama ningemjua aliyemuua Pac nisingewaambia Polisi kwa sababu mimi sio snitch. Kwa hiyo unaweza kuona ilivyokuwa ngumu kwa Polisi kumfungulia mashataka Orlando Anderson au mwingine yeyote bila ya ushahidi.

KWENYE RED
Mkuu kafanye utafiti wako vizuri, Crips ni moja gang ndogo??? You must be kidding! Hiyo nakuachia wewe mwenyewe ufanye utafiti utagundua kuwa umekosea.

hahahahahaha!!!! *crips* nigga???

what you talkn' about???..

Crips ikiwa ni gang kubwa Calfornia, na *The 18th street gang*, *Borrio Azteca* au *Florencia 13* utayaitaje???

*the 18th street gang ndo the most dangerous gang in Calfornia...ikifatiwa na mpinzan wake mkuu ambaye ni Florencia 13...achana na Mexican Mafia ambao wanaoperate kuanzia JELA mpaka KITAA...

Crips ni group of broke niggaz tu, hawajawah na hawatowah kuingia katika FBI list ya most worried gangs in USA....huwez kuwaweka kundi moja na MS-13 hao watoto wewe!!!

Baby lane hakuwa charged na murder kwasababu ushahidi wote ulionesha HAKUUA kabisa na POLICE walijiridhisha kwa hilo...
 
Umewahi kuishi au kufika Marekani?

Unadhani wenzetu wanashtaki tu mtu kama afande kova?

Unadhani OJ Simpson hakuuwa?

acheni kuishi kwa nadharia bhana!!

kwahyo mtu mwingine akija kutuambia SUGE alimuua PAC tuamini???

Hakuna official statement yoyote iliyotolewa na FBI kuhusu nan aliyemuua PAC mpaka leo!!

kwahyo siwez kuanza kujiaminisha mambo ambayo hayajawa proved!!
 
Last Concert Of 2Pac

<font size="4">
 
Last edited by a moderator:
dah ndugu zanguni wengi wetu washabiki wa pac na ndio maana tunachangia uzi huu nawaombeni mpunguze jazba tufahamishane kiungwana.
Nikirudi penye mada japo kuwa mnasema pac angekuwapo asingefurukuta hivi kwa sisi wenye miaka 40ambao tulianzia na rtd kusikiliza kina juma ngondae, Charles hillal, kipozi, majura na wengine wengi leo kweli uwafananishe umahiri wao na kina musa sijui hando mara mwilima kweli jamani? game imebadirika wapi? kama commercial pac hakuimba? kama kuparty hakuparty? California inazungumzia nini? me and my girlfriend jamaa alikuwa penye game miaka kama 5but he achieve a lot let's give him his credit.
Leo umahiri na utunzi wa marijani tuupuuze coz waqti umepita?kweli jaman kina gagarino na marehemu issa athuman wanazidiwa ubora na Kina ngasa na mkude!
 
Alikua ahead of his time,ila alikua anarun out of the materials...

Angeishiwa tu,asingeweza kubang na Drake right now...generation ingemkataa tu naturally...hizi mambo hazifosiwi

Window ya ku-shine seriously ni 10 yrz,baada ya hapo ni struggle ku-keep up...Pac asingekua exception
 
Mkuu MosDef kuna mahali ulikosea kusema Nas album Life Is Good imeuza zaidi ya Jay-Z's Holy Grail?

Man check your facts right...Japo Nas' album (2012) ilitoka one year ahead of Holy Grail (2013) mauzo ya Jay-Z yamemzunguka Nas nearly twice...
 
So in that case tunakubaliana kwamba since jay- z started rapping kitambo before PAC, na bado anafanya vizuri mpaka sasa kwenye market, basi hata PAC bado angekuwa amesimama mpaka sasa!!!..he was just 24 wakat anakufa!!

Believe Me BIG angeendelea kuishi mpaka kwenye 2000's nadhan ndo angekuwa the Most selling rapper of all the time!!!...coz alikuwa anafanya vizuri sana zaid ya PAC katika billboard charts, na hii ni kwasababu ya Marketing strategies za Bad-Boys!

what about Outkast???..me sometimes huwa nadhan RIAA huwa wanaManipulate figures za viwango vya mauzo vya hawa rappers..coz NAS (life is Good) solid more than 200k copies kwenye week ya kwanza tu..but report ya RIAA ilikuwa ni dissapoitment sana!!!...

then unasemaje kuhusu kifo cha PAC???
 
kuna movie yake inaitwa poetic justice alicheza na janeth jackson ni nzuri sana
Nyimbo kama happy home, words to my first born, changes, I wonder, only God can judge me, califonia luv, all eyez on me na do for luv nazikubari sana

Plus ; Blenda, Dear mama... acha kabisa,nakumbuka nilivyotoroka home Ukonga hadi Lang'ata club kinondoni, kwenye tamasha maalum la kifo chake.
 
Umenikumbusha sana 2PAC,, back in dayz hakukua na bongo flavor.

KULIKUA NA AKINA ,, LOST BOYZ, SOUL 4 REAL, MC HAMMER, BOYZ 2 MEN,SWV,TLC,AALIYAH(R.I.P), KEITH SWEAT, 3T.,,

and the LIST GOES ON AND ON.

UMENIKUMBUSHA MBALI MTOA MADA. THANX.

Kulikuwa watangazaji superstars wa music,kama Master T (Taji Lihundi) na Mike Mhagama, radio bomba ilikuwa Radio One.
 
hahahahahaha!!!! *crips* nigga???

what you talkn' about???..

Crips ikiwa ni gang kubwa Calfornia, na *The 18th street gang*, *Borrio Azteca* au *Florencia 13* utayaitaje???

*the 18th street gang ndo the most dangerous gang in Calfornia...ikifatiwa na mpinzan wake mkuu ambaye ni Florencia 13...achana na Mexican Mafia ambao wanaoperate kuanzia JELA mpaka KITAA...

Crips ni group of broke niggaz tu, hawajawah na hawatowah kuingia katika FBI list ya most worried gangs in USA....huwez kuwaweka kundi moja na MS-13 hao watoto wewe!!!

Baby lane hakuwa charged na murder kwasababu ushahidi wote ulionesha HAKUUA kabisa na POLICE walijiridhisha kwa hilo...

Naona mjadala umehamia kwenye gangs. Hakuna mtu anayebisha kuwa 18th street gang (aka Calle 18 or Barrio 18), Florencia 13 (aka Mara Salvatrucha or MS 13) na Borrio Azteca ( aka Los Azteca) ni gangs kubwa lakini kusema Crips (with 35,000 members) ni gang ndogo is just ridiculous. Latin na Hispanic gangs zimepata umaarufu kwa kuwa ni more violent. Pia kusema kuwa Crips are broke ass niggas ni potofu kwani wana criminal enterprises kama gangs nyingine (Drug dealing, robbery etc). Orlando Anderson alikwenda Las Vegas kuangalia pambano la Mike Tyson kwenye ukumbi wa MGM Grand, do you know how much it costs to do that? And you called him broke ass nigga, maybe you don't know the meaning of broke ass.

Halafu unatakiwa uelewe kuwa gangs huwa zinakuwa ethnically based. Hizo ulizozitaja ni za Latino na Hispanic huwezi kumkuta mandingo humo hata kwa dawa. Kama vile huwezi kumkuta mtu mweusi au latino kwenye gang za watu weupe kama Aryan Nation na kamwe huwezi kumkuta mweupe au latino kwenye gangs za weusi kama Crips na Bloods.

Sasa nakuuliza swali; Ni gang gani ya watu weusi California ambayo ni kubwa kuliko Crips na Bloods?

Back to the point, sentensi yako ya mwisho ulitakuwa kuandika; Baby Lane hakuwa charged with Pac's murder kwa sababu hakukuwa na ushahidi wa kumshtaki lakini Polisi wa LVPD hawakuwahi kumsafisha Orlando kuwa hakumuua Pac.
 
Alikua ahead of his time,ila alikua anarun out of the materials...

Angeishiwa tu,asingeweza kubang na Drake right now...generation ingemkataa tu naturally...hizi mambo hazifosiwi

Window ya ku-shine seriously ni 10 yrz,baada ya hapo ni struggle ku-keep up...Pac asingekua exception

I might agree with you,
considering

MICHAEL JACKSON(RIP)
WHITNEY HUOSTON(RIP)
R. KELLY
DMX
JAH RULE
BOBY BROWN
BABY FACE.
etc.
They had their time. Muda wa kushuka ulipo fika. Mazima.
 
nami nimefanya reference hata kwa hapa bongo nimekuta hivyo hivyo, hata hao wachache waliopo Ni kama wanachechemea (somewhere in the midle)

SALUTE KWA MKUU Lebronw ade
 
Last edited by a moderator:
watch
 
Last edited by a moderator:
Dog alisema "I watch your back". Kwahiyo Dog knows every thing. One day, he'll tell us the truth......................... .............
Together with DOG

<font size="4">
 
Last edited by a moderator:
Naona mjadala umehamia kwenye gangs. Hakuna mtu anayebisha kuwa 18th street gang (aka Calle 18 or Barrio 18), Florencia 13 (aka Mara Salvatrucha or MS 13) na Borrio Azteca ( aka Los Azteca) ni gangs kubwa lakini kusema Crips (with 35,000 members) ni gang ndogo is just ridiculous. Latin na Hispanic gangs zimepata umaarufu kwa kuwa ni more violent. Pia kusema kuwa Crips are broke ass niggas ni potofu kwani wana criminal enterprises kama gangs nyingine (Drug dealing, robbery etc). Orlando Anderson alikwenda Las Vegas kuangalia pambano la Mike Tyson kwenye ukumbi wa MGM Grand, do you know how much it costs to do that? And you called him broke ass nigga, maybe you don't know the meaning of broke ass.

Halafu unatakiwa uelewe kuwa gangs huwa zinakuwa ethnically based. Hizo ulizozitaja ni za Latino na Hispanic huwezi kumkuta mandingo humo hata kwa dawa. Kama vile huwezi kumkuta mtu mweusi au latino kwenye gang za watu weupe kama Aryan Nation na kamwe huwezi kumkuta mweupe au latino kwenye gangs za weusi kama Crips na Bloods.

Sasa nakuuliza swali; Ni gang gani ya watu weusi California ambayo ni kubwa kuliko Crips na Bloods?

Back to the point, sentensi yako ya mwisho ulitakuwa kuandika; Baby Lane hakuwa charged with Pac's murder kwa sababu hakukuwa na ushahidi wa kumshtaki lakini Polisi wa LVPD hawakuwahi kumsafisha Orlando kuwa hakumuua Pac.

Kwanza kabisa MS-13 (most salvadorians) nj tofauti kabisa na Florencia-13 ni gang mbili tofauti (siyo gang moja)..

Na unaposema kuwa gang zipi ethinical based, inawezekana kwa hizi white gangs..but MS-13 wana sets central America ambazo zina blacks, hispanic and Asians pamoja na whites..LA kuna rivaly kubwa sana kati ya MS-13 na crips pamoja na Bloods ndo maana huwez kukuta a Nigga katika MS-13..and abive all kati ya sets zaid ya 600 za Crips nationwide kuna mchanganyiko wa latinos, asians, whites etc na wapo mpaka L.A (hiyo haina kificho kwa crips)..kuna mchanganyiko wa races lakin African-America ndo wamechukua part kubwa!!!

Kaka me kuhusu kifo cha PAC nilifatilia sana na ishu ya kuhusishwa kwa baby lane kwenye kifo cha PAC ilinifanya nifatilie sana hiz Gangs..

Crips japokuwa imeanzishwa kwenye 1960's lakin ilikuja kuimarika na kuwa popular zaid 1990's mostly 1999 ambapo sets ziliongezeka, members waliongezeka na Associates waliongezeka...na imegenerate members zaid ya 32k kuanzia 1999-present..lakin kipind PAC anauwawa *crips* haikuwa na mtandao na associates na sets wengi kama ilivyogain power kubwa nationwide kuanzia 1999...

PAC was just a THUG aliyekuwa anawakilisha niggaz wa kwenye projects hakuwepo Crips wala bloods..japokuwa kuna wapenda nadharia kama wewe wanadai PAC alikuwa bloods..na PAC alimpiga baby lane kwasababu ya kile alichoambiwa na associate wake ambaye alikuwa victim na ishu za kina baby lane...lakin *crips* HAWAKUHUSIKA na kifo cha PAC (me siishi kwa nadharia)..

Hapo kwa Baby lane kwenda MGM kuangalia pambano la TYSON umenichekesha sana! A nigga who lives for selling drugs, robbery, trafiking etc ashindwe kwenda kuingia MGM kuangalia pambano??? (kwa ticket price range ambayo inaanzia $324, $216, $111, $59???)...kwan ni lazma akate tiket ya $300+?? Wakat kuna tiket za $50+ mpaka $100+?? (tena without taxes and extra fees??)..

Acheni kuongopea watu kihivyo jaman!!!

Ukiachana na theory ya Russel poole kwamba SUGE na associates wa deathtrow walihusika na kifo cha PAC na kushirikiana na LAPD kuficha siri ya mauaji....mwaka 2006 Snoop Dogg alimtuhumu SUGE kuhusika na mauaji ya PAC, upande mwingine tunaambiwa BIG na BadBoys (akina P.DIDY) walihusika na kifo cha PAC..etc na LEO kuna watu humu mnasema PAC aliuliwa na CRIPS..

So tumwamini nani?? kina Russel poole (watu kama hawa ndo wapo wengi sana)..tumwamini SNOOP DOGG (mwanae PAC)..tuwaamini waliosema PAC was killed by BAD-BOYS??? AU tuwaamini watu wa JF humu wenye uhakika kuwa PAC was killed by CRIPS????

HITIMISHO hapa ni kwamba hizo zote ni theories tu..tunahitaj official statement!!
 
cc Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom