Nilikuwa nazipenda sana movie zake poetic justice na above the rim nyimbo zake dear mama, changes, california love karibia zote kwa kweli!
Nakumbuka na ile style yake ya kuvaa kitambaa kichwani ikawa ndo swagger kwa mabrothermen mjini
mtu akifariki watu wanaanza kumfuatilia,but pac hawezi kuwa zaidi ya snoop dogg
sio kweli, labda ungesema Jayz kidoogo ningekuelewa
Dre pamoja jay z japo walitofautiana na pac, wao kwa vinywa vyao walikiri pac ni namba nyingine kabisa kwenye industly ya hip hope
*so kama unapenda hip hope utampenda Tupac kama unampenda snoop sio lazima uipende hip hope*
Brenda's got a baby and keep ya head up go out to all our sisters and mamaz out there...PAC lives on...son of a black panther
mtu akifariki watu wanaanza kumfuatilia,but pac hawezi kuwa zaidi ya snoop dogg
Huo wimbo hapo kwenye Red jamaa alimuimba Big na kumtukania ukoo wake wote nahisi ndio kilimpelekea 2Pac maumivu yakwenda kaburini!Vp hizi,.
Hail mary
Changes
Hit 'em up.
Hasa hiyo ya pili 'CHANGES' ,nikiiskia nalia.
Una uhuru wa kutoa maoni lakini hujui muziki.
Peter Tosh hawezi kuwa zaidi ya Bob Marley hata iweje na Snoop Doggy hawezi kuwa zaidi ya 2pac hata iweje.
2pac ndio muhasisi wa double cd kwenye all eyes on me na ndio mwanamuziki aliyekuwa anatoa zaidi ya nyimbo 16 kwa cd moja. Ongea mengine 2pac ni shughuri nyingine, amekufa mwakaw1996 lakini mpaka leo nyimbo zake zipo juu na zile alizoandika bado zipo nyingi maktaba.
Huo wimbo hapo kwenye Red jamaa alimuimba Big na kumtukania ukoo wake wote nahisi ndio kilimpelekea 2Pac maumivu yakwenda kaburini!
Huo wimbo hapo kwenye Red jamaa alimuimba Big na kumtukania ukoo wake wote nahisi ndio kilimpelekea 2Pac maumivu yakwenda kaburini!
Big hakuhusika na kifo cha 2pac, CCTV camera zilionesha 2pac akimpiga mashuti unknown person muda mchache kabla ya Mike Tyson kupanda ulingoni MGM Grand.
For sure gang ya yule aliyekuwa anapigwa ndio walimuuwa 2pac na walijuwa destination baada ya pambano la Tyson ni kwenye club ya Suge Knigh ambako kulikuwa na show usiku ule.
hoja ya kwamba PAC aliuliwa na kina Orlando Anderson *baby lane* akishirikiana na crew yao ya *crips*..huwa naiona ni hoja dhaifu sana katika nadharia zote ambazo zinajaribu kuelezea kifo cha PAC!
alikuwa ana matatizo yake na alikuwa na mazuri yake kama binadamu wote tulivyo, alikuwa na huruma na hasira pia khaswa watu weupe.
Lakini kumfananisha pac na snoop au jayz aah jamaa alikuwa juu sana ukisikiliza nyimbo kama aint mad anasema mabadiliko ni kitu cha kawaida na kuna jamaa zake walibadilika nae hakuwachukia ila aliwatakia kila la kheri, au brenda got a baby zina maneno ya kufundisha.
sasa ukija penye kupart hapo ndio California na to live and die in LA, panachafuka kwenye hit em up anasema with my 44 i will make sure all ur kids they don't grow hapo ndio penye shida but kwangu pac hip hop na hip hop pac.
hoja ya kwamba PAC aliuliwa na kina Orlando Anderson *baby lane* akishirikiana na crew yao ya *crips*..huwa naiona ni hoja dhaifu sana katika nadharia zote ambazo zinajaribu kuelezea kifo cha PAC!