2Pac Shakur - Hip hop giant legacy thread

Umenikumbusha sana 2PAC,, back in dayz hakukua na bongo flavor.

KULIKUA NA AKINA ,, LOST BOYZ, SOUL 4 REAL, MC HAMMER, BOYZ 2 MEN,SWV,TLC,AALIYAH(R.I.P), KEITH SWEAT, 3T.,,

and the LIST GOES ON AND ON.

UMENIKUMBUSHA MBALI MTOA MADA. THANX.
 
Brenda's got a baby and keep ya head up go out to all our sisters and mamaz out there...PAC lives on...son of a black panther
 
Umenikumbusha sana 2PAC,, back in dayz hakukua na bongo flavor.

KULIKUA NA AKINA ,, LOST BOYZ, SOUL 4 REAL, MC HAMMER, BOYZ 2 MEN,SWV,TLC,AALIYAH(R.I.P), KEITH SWEAT, 3T.,,

and the LIST GOES ON AND ON.

UMENIKUMBUSHA MBALI MTOA MADA. THANX.

pamoja mkuu blogger
take dedicate da song life goes on 4 u
 
Last edited by a moderator:
pamoja mkuu blogger
take dedicate da song life goes on 4 u

dah,,, 2 PAC!

ngoma yake ya 'ONLY GOD CAN JUDGE ME'

nilikua naimba chorus yake kwa nnavyojua mimi, ila nlipo fika Sec. School ndo nikaelewa ile chorus...

Dah. Rip 2 PAC.

Kaaallfoooniaaa loooveeee.,.
Dr. Dre in da haus.
 
Last edited by a moderator:
Kuna movie aliicheza ''ABOVE THE RIM''
 
i aint mad at you na until the end of times...nyimbo nilizonazo kwenye gari ni pac tu full mdundo mpaka wagonjwa wanashangaa
 
i aint mad at you na until the end of times...nyimbo nilizonazo kwenye gari ni pac tu full mdundo mpaka wagonjwa wanashangaa

wharrttt,, wakizungua sana wape 'dear mama' kama vp unamaliza na ... 'hit em up'

lazima wapone hapo.
 
'hit em up'

as in Americans.! Was a shit.
An hah!
 
dah,,, 2 PAC!

ngoma yake ya 'ONLY GOD CAN JUDGE ME'

nilikua naimba chorus yake kwa nnavyojua mimi, ila nlipo fika Sec. School ndo nikaelewa ile chorus...

Dah. Rip 2 PAC.

Kaaallfoooniaaa loooveeee.,.
Dr. Dre in da haus.

kuna wakati (mwaka 95) alikua anatembea kwa kubonyea kimtindo hivi, watu wakajua ni style kisha wakaiga ah ah ah
kumbe jamaa alikuwa anaugulia maumivu ya risasi kwenye mguu
 
Cc:....... IGWE......
 
Last edited by a moderator:
kuna wakati (mwaka 95) alikua anatembea kwa kubonyea kimtindo hivi, watu wakajua ni style kisha wakaiga ah ah ah
kumbe jamaa alikuwa anaugulia maumivu ya risasi kwenye mguu

ha ha ha..! Dont tell me.!?!

Nazikumbuka sana zile enzi za 'kawasaki' , 'fido dido'...
 
Nilikuwa nazipenda sana movie zake poetic justice na above the rim nyimbo zake dear mama, changes, california love karibia zote kwa kweli!
Nakumbuka na ile style yake ya kuvaa kitambaa kichwani ikawa ndo swagger kwa mabrothermen mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…