2nd CRJ-900 NG aircraft arrives in Kigali

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,993
Tunawatakia kil la kheri napenda kutangaza uwepo wa ndege ya pili ya kampuni ya ndege ya rwandair iliyowasili leo kutokea kiwandan usa ..baada ya ile ya kwanza iliowasili oct
tunawatakia maboreshomema kwenye huduma na upanuzi wa toute mbali mbali nje ya east africa na kwingineko ......
 
Attachments

  • 4414.jpg
    4414.jpg
    61.3 KB · Views: 220
Sisi tuko busy na matreni na mingozi yetu imekunjamana kama kenge
 
Madini yatakapoisha mwakani tutaagiza ndege za kutosha kwani hujui upanuzi wa uwanja wa ndege Dar karibu unakamilika
 
Wameshaiba madini huko DRC ndio mnatamba, WaTutsi nyie mmemuua Hyabyarimana na damu yake itawasumbua na MUNGU hatawaacha. JUZI TU MMEMFUNGA MAMA WA KIHUTU, kwa kuwa anataka agombee kidemokrasia nafasi ya Urais, mkamsingizia kwanini kahoji Mauaji ya Kimbari 1994 Wahutu hawakumbukwi ila Watutsi tu.
Iko siku udikteta wa Kagame Walimwengu wataujua na kuvamia Nchi ya DRC
 
Tunawatakia kil la kheri napenda kutangaza uwepo wa ndege ya pili ya kampuni ya ndege ya rwandair iliyowasili leo kutokea kiwandan usa ..baada ya ile ya kwanza iliowasili oct
tunawatakia maboreshomema kwenye huduma na upanuzi wa toute mbali mbali nje ya east africa na kwingineko ......

Mkuu sahihisho......CRJ zinatengenezwa Canada na kampuni ya BOMBADIER (wale walio tuuzia vichwa vile vya treni vya class 88 na 89 toka 1972 mpaka leo vipo) sio USA.........hawa BOMBADIER walitaka kuichukua TRC sisi tukawapa wahindi

TanzaniaTRCDar.jpg
 
Mkuu Pdidy, Jamaa (AiRwanda) kwa sasa wanayumba sana kibiashara, almost kila siku wanahairisha safari zao kwa kukosa abiria, kama mara nne nimesafiri na Boeng yao kutoka Kigari to Dar Via Kilimanjaro na kutoka Dar kwenda Kigali na mara zote ndege huwa nyeupe (Open sit), wana Kazi kubwa sana ya kushindana na giants kama KQ.........

pamoja na hayo niwape sifa zao lakini, wanaonyesha kujituma na kuwa na mwelekeo wa kitaifa kwa faida ya taifa lao
 
Tunawatakia kil la kheri napenda kutangaza uwepo wa ndege ya pili ya kampuni ya ndege ya rwandair iliyowasili leo kutokea kiwandan usa ..baada ya ile ya kwanza iliowasili oct
tunawatakia maboreshomema kwenye huduma na upanuzi wa toute mbali mbali nje ya east africa na kwingineko ......

hatuna ujanja zaidi ya kuwapongeza jirani zetu hawa kwa kila hatua wanayopiga.
 
mkuu kituko
kwanza naomba nianze kurekebisha ni Rwandair na si air rwanda
Pili nafurahi kusikia kusafiri nao m ni moja ya agent wao hapa dar ..ninafurahi kuwa na jamaa kwa kila hali
Cancellation na dly ni vitu vya kawaida kwenye airline mkuu..
Tatu nakupa pole kwa yaliotokea na kupenda kusahahiisha kwamba hapa kati wamekuwa wakipeleka ndege zao kwenye checkc..kama gari zinavyomwaga oil same to ndege mkuu na wao walinunua ndege nyingi wakati mmoja so waka ti wacheks zinakuwa zinatakiwa ziende nje kuwa checkd up..hili ndilo tatizo na soon itabadilika baada ya ujio wa hizi ndege

Tatu kuhusu swala la kujaa ndege hata emirates awajaizi siku zote..usiogope kwa hili hii ni ndege ya serikali tumeruka mwakamzima na pax 2-50 lakini leo tuna proud kujaza ndege tofauti na ilivyoanza..

Nnne
nakukaribisha kuisaport na kuomba radhi kwa yaliotokea yaliopita sindwele tugange kituko

kila la kheri
 
Wameshaiba madini huko DRC ndio mnatamba, WaTutsi nyie mmemuua Hyabyarimana na damu yake itawasumbua na MUNGU hatawaacha. JUZI TU MMEMFUNGA MAMA WA KIHUTU, kwa kuwa anataka agombee kidemokrasia nafasi ya Urais, mkamsingizia kwanini kahoji Mauaji ya Kimbari 1994 Wahutu hawakumbukwi ila Watutsi tu.
Iko siku udikteta wa Kagame Walimwengu wataujua na kuvamia Nchi ya DRC

I have never trusted Dictator Kagame and will never!!

There is something n him mh mh, no noh!! ... I always dream of him instinctively thinking of grabbing part Of this country!! ... am telling you guys ..watch this Tutsi with an objective pure mind!!
 
Kawa wao wana ndege mpya na sisi tuna treni letu la mwakyembe, ngoma droo.
 
Mkuu, abiria wengi wanatoka kanda ya ziwa - kama wangejipanga vizuri wangeweza kabisa kuwa wanatua Mwanza na Bukoba alafu ndio wanakwenda RWANDA; ingawa sihafikiani na mambo mengine ya Kagame lakini hili wamejitahidi SANA.
 
Wameshaiba madini huko DRC ndio mnatamba, WaTutsi nyie mmemuua Hyabyarimana na damu yake itawasumbua na MUNGU hatawaacha. JUZI TU MMEMFUNGA MAMA WA KIHUTU, kwa kuwa anataka agombee kidemokrasia nafasi ya Urais, mkamsingizia kwanini kahoji Mauaji ya Kimbari 1994 Wahutu hawakumbukwi ila Watutsi tu.
Iko siku udikteta wa Kagame Walimwengu wataujua na kuvamia Nchi ya DRC

Hamia Tanzagiza tuna raisi HANDSOME!!
 
mkuu, abiria wengi wanatoka kanda ya ziwa - kama wangejipanga vizuri wangeweza kabisa kuwa wanatua mwanza na bukoba alafu ndio wanakwenda rwanda; ingawa sihafikiani na mambo mengine ya kagame lakini hili wamejitahidi sana.

mkuu wana mwezi wa 4 sasa wanatokea mwanza kigali mwanza na december wanaanza na zanzibar mungu akipenda ....kwa mawasiliano na mwanza check na agent wao david 0716 754024
 
Poa sana mkuu, mimi nilikuwa nawapa ushauri - sasa hivi hata kiwanja cha Munispaa ya Bukoba kimeboreshwa zaidi, sina shaka kwamba urefu wa kiwaja unaweza kabisa kuiwezesha ndege hiyo ku-roll na kupaa bila matatizo. Wajaribu kuangalia kama kuna uwezekano wa kutua pale en-route to Kigari.
 
Sisi tuko busy na matreni na mingozi yetu imekunjamana kama kenge
una roho mbaya sana. huwezi kuongea hivi kwa mwakyembe, unless you are the one who caused that thing to him. hata hivyo, jua kuwa, kuanzisha kwake train hapa dar it worths something, something so great you know!, na pia yuko mbioni kufufua atcl. hakuna mtu mwenye roho nzuri ambaye anaweza kufurahia au hata kumtania mwakyembe kutokana na ngozi yake kuharibika....ni roho mbaya sana unayo aisee. uishi ukijijua hivyo, kama haujijui.
 
poa sana mkuu, mimi nilikuwa nawapa ushauri - sasa hivi hata kiwanja cha munispaa ya bukoba kimeboreshwa zaidi, sina shaka kwamba urefu wa kiwaja unaweza kabisa kuiwezesha ndege hiyo ku-roll na kupaa bila matatizo. Wajaribu kuangalia kama kuna uwezekano wa kutua pale en-route to kigari.

bila shaka mkuu ujumbe umefika na tutaufanyia kazi
thanks for supporting rwandair
ikaze iwacu
 
Mkuu sahihisho......CRJ zinatengenezwa Canada na kampuni ya BOMBADIER (wale walio tuuzia vichwa vile vya treni vya class 88 na 89 toka 1972 mpaka leo vipo) sio USA.........hawa BOMBADIER walitaka kuichukua TRC sisi tukawapa wahindi

TanzaniaTRCDar.jpg

Kwa sababu Mhindi anajua mlango wa nyuma. Wazungu hawana hiyo. Angalia ulafi wa Mbantu, kiko wapi sasa?
 
una roho mbaya sana. huwezi kuongea hivi kwa mwakyembe, unless you are the one who caused that thing to him. hata hivyo, jua kuwa, kuanzisha kwake train hapa dar it worths something, something so great you know!, na pia yuko mbioni kufufua atcl. hakuna mtu mwenye roho nzuri ambaye anaweza kufurahia au hata kumtania mwakyembe kutokana na ngozi yake kuharibika....ni roho mbaya sana unayo aisee. uishi ukijijua hivyo, kama haujijui.

Usishangae mkuu hawa ndo walotumwa kumuua baada ya kuona hakufa wanaweweseka! Bado hiyo ngozi kama ya kenge itakuja kwenu, sh.enz.i zenu.
 
Back
Top Bottom