24 series na prison break ipi kali?

Prison break niliielewa season 1na 2..ni best kwa kwel..ila kuanzia season 3 hapo naona figisu nyingiii mpk ladha inapotea ya muvi....24 level nyingine,ile ni shida aisee hasa kwenye mpangilio wa matukio,ni shida ile series...imefikia hatua series nnazoziangalia km hazifanan fanan na 24,hta mda wa kuziangalia sina kbsa...24 imeniharibu...ile SERIES ni shida
Kama mm mzee kusipokua na matukio ya namna ile halaf bingwa kama Khohe ktk IT deptment aisee sioni ladha yake.... Jack hashindwi akiamua na mbaya zaid hua anamzunguka hata rais na kulianzisha mwenyewe
 
Kama mm mzee kusipokua na matukio ya namna ile halaf bingwa kama Khohe ktk IT deptment aisee sioni ladha yake.... Jack hashindwi akiamua na mbaya zaid hua anamzunguka hata rais na kulianzisha mwenyewe

24 legacy na Designated Survivor zipo poa sana
 
Hapo ukitaka kujua bora zaidi weka ka utafiti kadogo uliza kati ya 24hrs na prison break ipi umeirudia kuangalia tena na unatamani kuangalia tena.

Hapo jibu litakuwa ni prison break.
 
24 ni hatari aise, nakumbuka nilikua nalala sa 9 usiku naamka sa11 kuifuatilia tu
 
Sidhani kama iliendelea baada ya season 10.

Ila Bauer kaigiza series nyingine kama Rais wa Marekani, nimeona wanaitangaza juzi kati.

Inaonekana tamu sana, ngoja nikumbuke jina lake niilete hapa.
Inaitwa designated survivor hiii ni nouma right now naiangalia hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom