24 series na prison break ipi kali?

Strike Back.
I can't imagine John Porter asingekufa kwenye ile season 1. Nahisi kwenye list ya series bora ingekua hivi

1. Strike back
2. Strike back
3. Strike back
4. Strike back
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Others
 
Kama mm mzee kusipokua na matukio ya namna ile halaf bingwa kama Khohe ktk IT deptment aisee sioni ladha yake.... Jack hashindwi akiamua na mbaya zaid hua anamzunguka hata rais na kulianzisha mwenyewe
 
24 legacy na Designated Survivor zipo poa sana
 
Hapo ukitaka kujua bora zaidi weka ka utafiti kadogo uliza kati ya 24hrs na prison break ipi umeirudia kuangalia tena na unatamani kuangalia tena.

Hapo jibu litakuwa ni prison break.
 
Sidhani kama iliendelea baada ya season 10.

Ila Bauer kaigiza series nyingine kama Rais wa Marekani, nimeona wanaitangaza juzi kati.

Inaonekana tamu sana, ngoja nikumbuke jina lake niilete hapa.
Designated Survivor
 
24 ni hatari aise, nakumbuka nilikua nalala sa 9 usiku naamka sa11 kuifuatilia tu
 
mkuu hivi hujui prison ndio series inayosubiliwa kwa hamu kila kona ukiacha na walking dead, designated surviver,legacy 24 na nyingine nyingi tu.
Yaa Prison break naikubali ila Tyrant & Strike back n habari ya mjini
 
Wakuu embu tafuteni THE LAST SHIP [emoji568] mpate mautamu hiyo series ni shidaah kitu cha Erick Den (Captain Chandler)
 
Sidhani kama iliendelea baada ya season 10.

Ila Bauer kaigiza series nyingine kama Rais wa Marekani, nimeona wanaitangaza juzi kati.

Inaonekana tamu sana, ngoja nikumbuke jina lake niilete hapa.
Inaitwa designated survivor hiii ni nouma right now naiangalia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…