Jack Bauer ameniharibu sana kwenye movie, yaani anajitahidi reality na fiction hazitofautiani
Don self...[emoji1] .. kachero ...kizabizabina...
KabisaMoja ni drama na nyingine ni action ni ngumu sana kulinganisha, ni ngumu sana kulinganisha uji wa ulezi na uji wa mchele ingawa vyote ni uji, kila mtu atavutia anaoupenda
24 ina season 9 lakini prison break ina season 4 ndio mwezi ujao inatarajiwa kuanza kulushwa hewani halafu watu wanazipambanishaZote kali mkuu!!! Zina story line tofauti saana ni ngumu kuzipambanisha
Mimi hapo natoa Lost naweka Iriss ya Kikorea!ukiniambie nilinganishe..
1.prison break
2.lost
3.24
kwa miongoni mwa series ambazo nimewahi kuzielewa zaidi....
Tengeneza Series yako ili wewe ukaokoe Jahazi!24 ni ypuuzi....et kila episode jak bawa anaonekana ndo kaokoa jahazi
Jack bauer nadhani ni mu America. Rangi mzungu.Prison break nimeiona na naipenda Sana naomba kuuliza 24 imechezwa wazungu,wahindi au wakorea nataka niiagizie ili niiangalie
Unaona eehe!24 ina season 9 lakini prison break ina season 4 ndio mwezi ujao inatarajiwa kuanza kulushwa hewani halafu watu wanazipambanisha
Prison break niliielewa season 1na 2..ni best kwa kwel..ila kuanzia season 3 hapo naona figisu nyingiii mpk ladha inapotea ya muvi....24 level nyingine,ile ni shida aisee hasa kwenye mpangilio wa matukio,ni shida ile series...imefikia hatua series nnazoziangalia km hazifanan fanan na 24,hta mda wa kuziangalia sina kbsa...24 imeniharibu...ile SERIES ni shidaWadau,
Kunaubishani huku, naomba mtusaidie na nyie kati ya series ya 24 na prison break ipi ni series kali sana.
Urefu unaouzungumzia ww n upi...sijakuelewa24 Hours akili nyingi sn.
Prison Break pia ni hatari.
Prison Break ni ndefu tu kuzidi 24 Hours. Ila 24 Hours ni kiboko.