babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,752
Mi nilifurahi pale alipokiri kuwa amemtesa Ibrahim Haddaad kwa mujibu wa mikataba ya UN. Lakini akakanusha kutesa kwa mujibu wa majukumu ya kazi yake24 ni hatarii......nampenda jack anasimamia anachokiamini hata ikibidi kukiuka amri ya rais........kuna sehemu anahojiwa na maseneta nilicheka sana majibu yake.........."who is ibrahimu hadaad"?
Jack....." That information is classified......" Jack mwehu
Mzee wa " damn it"..........." Damn it chloe do it.....chloe now or never..""Mi nilifurahi pale alipokiri kuwa amemtesa Ibrahim Haddaad kwa mujibu wa mikataba ya UN. Lakini akakanusha kutesa kwa mujibu wa majukumu ya kazi yake
Alimwamin sana chloe...hasa ile seasson9Mzee wa " damn it"..........." Damn it chloe do it.....chloe now or never..""
Me against the world......
Cloe mamaa wa IT ni kuhack tuuuu.....sura yake na vaa yake ya hovyo hovyo ila kichwa hatari....Mzee wa " damn it"..........." Damn it chloe do it.....chloe now or never..""
Me against the world......
angalia na prison break kwanza halafu uje kulinganisha mkuu..!!...24!! movie pekee ambayo haina ujinga wa kuweka matukio kwenye slowmo,, movie ambayo kuna wakati mpambano wa ngumi na gaidi unamuelemea star mpaka inambidi amng'ate meno gaidi ili ajiokoe. 24 haitaja tokea tena
kwamba unahisi sijawahi kuiona? ile ni kali ila akili zake zimepitiliza kidogo uhalisiaangalia na prison break kwanza halafu uje kulinganisha mkuu..!!...
24 haina ujinga wa slowmo wala flashback....hamnaga habari ya mtu kukumbuka matukio ya nyuma mule.........24!! movie pekee ambayo haina ujinga wa kuweka matukio kwenye slowmo,, movie ambayo kuna wakati mpambano wa ngumi na gaidi unamuelemea star mpaka inambidi amng'ate meno gaidi ili ajiokoe. 24 haitaja tokea tena
Acha kufananisha Prison break na series za kitoto.[emoji35]Wadau,
Kunaubishani huku, naomba mtusaidie na nyie kati ya series ya 24 na prison break ipi ni series kali sana.
Yaah jamaa ametsha sana
Naweza sema hivi "BILA T.BAG PRISON BREAK SI KITU" 100%
Upo vizuri mkuu,sina chakuongezea hapo japo sijajua mpaka sasa wadau wanatumia vigezo gani kulinganisha hizo series mbili,ila mbali ya vyote 24 is the best series ever.24 ni habari nyingine. ...hii series ilinifanya nishindwe kuangalia series nyingine kabisa..nilikuwa naona hazina viwango kabisa. baada ya kuushawishi sana moyo wangu na ndio nikamanage kuangalia nikita, homelanda, scandal na revenge...hata hivyo hakuna hata moja niliyofanikiwa kuimaliza kati ya hizo. ila kwa upande wa action series 24 haina mpinzani hadi sasa...
ktk series za drama desperate housewives imefanikiwa kuuteka moyo wangu
[emoji23] [emoji23] nilihisi mm ndio cjamuelewaSasa hapo umelinganisha au umetaja?