2027 nakataa kamari!

2027 nakataa kamari!

MR 2027

Member
Joined
Aug 23, 2026
Posts
66
Reaction score
257
2026 sijaona mafanikio yeyote.imekuwa mwaka wa mateso kwangu sijaona kipya maishani. Kamari imeongoza kunifilisi nimepoteza mamillion ya pesa.nimebet nimecheza aviator nimekuwa kama chizi. Nimekuwa kama chizi,sifikirii hata kutafuta demu nawaza tu kamari. nimekuwa kama zezeta juu ya kucheza kamari. nimekataa utumwa wa kamari,hii ni maisha ya giza hamna mafanikio. nimekataa huu utumwa 2027 naanza upya bora nitafute njia nyingine ya kutafuta hela .i'm tired with this life....?
 
It seems like you're addicted already!
Not easy to break that chain!
 
Hela uliyoipoteza kwa kamari huwezi kuirudisha sehemu nyingine yeyote nje ya kamari.

Cheza kamari kwenye hela ambayo hauna mahesabu nayo makubwa. Ndio maana kauli mbiu ni stake what you can afford to lode.

Sio umetia stake kwenye slip yako, mechi hata hazijaanza tayari ushaanza kuipigia bajeti payout.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom