Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 903
- 1,317
Kabla ya hapo pia kutakuwa na mcheza wa hatua ya 16 bora wa marudio kati ya Spain na Portugal nao tunausubiri kwa hamu.Habari ya mechi ya fainali kurudiwa imechelewa kunifikia.
Naomba radhi sana kwa kuandika uzushi wa kwamba Messi ametolewa.
Ngoja tusubi hiyo tarehe 33 mwezi wa August tuone nani bingwa.