ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,930
- 46,770
InshaAllah Asantee kakaJana hali yenu ilikuwa mbaya best.
Anyway! Next time inshallah...
InshaAllah Asantee kakaJana hali yenu ilikuwa mbaya best.
Anyway! Next time inshallah...
Picha ya Ronaldo kwani si nimeiweka hapo juu sheikh?Tafuta picha ya Ronaldo na Badr Hari
Niko fitUmekunywa chai?
Haya basi tumekoma sisi
Nimekwambia Ronaldo na Badr Hari na sio Ronaldo pekeePicha ya Ronaldo kwani si nimeiweka hapo juu sheikh?
Au mpaka tukufanye hivi?
View attachment 3633315
Ati nini wedikapu😂😂
😂😂😂😂😂
Vile vitoto vya Spain vinajua kudhalilisha wakubwaMUNGU FUNDI BANA AISES JAMAA HATA MCHEZAJI BORA KAUKOSA HAHAHAAAAAAAA
ASHINDWEEEEEEEE KABISAA
Hawa SpainKwetu rahaaa
SITAKI MANENO, NATAKA PICHA YA MCHEZAJI WAKO UNAEMPENDA AKIWA NA WEDIKAPUAti nini wedikapu😂😂
Acha kucheka NATAKA PICHA😂😂😂😂😂
Hawa SpainKwetu rahaaa
Ni wazi kuwa hata huyo Goat wa ureno asingeweza kupambana na hawa watoto wa SpainAcha kucheka NATAKA PICHA
Aaaah hembu nipe picha bana au huna MCHEZAJI unaemkubali ?Ni wazi kuwa hata huyo Goat wa ureno asingeweza kupambana na hawa watoto wa Spain
Hawa watoto wameaga kwao🙌