Muda utaeleza tu kurukaruka kwa maharageBrasil kweli imeisha hata wakishinda leo kwa bahati ila kufa ni uhakika
Hujamuona ?Brahim Diaz yupo humu?
Hiki wanafanya kipo ndani ya uwezo wao.Watoto wanacheza jihad hawa
Hiki unachokiona hapa sio kiwango chao halisi
Tulia weweBrazil imeishiwa talents imagine Casemiro yupo kwenye first XI wakati hata kwenye squad hakupaswa kuwepo.
Umeona vibayaHiki wanafanya kipo ndani ya uwezo wao.
Hawa morocco wanachotafuta ni kupata goli la mapema ili kupunguza presha kwao ila ngumu sana brazil akifunguka vizuri morocco atarudi nyumaWanatega ila wanaweza kulizwa any time
Wanapaka sana mpira rangi pale mbele nimemkumbuka Ziyech wa 2022Sijui inakuwaje pale mbele.
Miguu ya Wamorocco inatetemeka wakifika kwenye 18
Stats zipi za kutisha?? Hizo za EPL?Tulia wewe
Casemiro umemfuatilia stats zake?
Ancelot ana mbinu nyingiMnawatega sio
We kumbe hamna kituStats zipi za kutisha?? Hizo za EPL?
Hao NYUMBU si wangelimuongeza hata mwaka mmoja mbona wamemkataa kama kinyesi.
Tunashinda hiiLeo kazi ipo kwenu