Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,046
- 33,723
Wapo rohoni😃Majamaa wanaimba wimbo wa Taifa kwa Mzuka hadi wanaruka ruka
Wapo rohoni😃Majamaa wanaimba wimbo wa Taifa kwa Mzuka hadi wanaruka ruka
Diop hujamuona ?Morocco hakuna black hata mmoja 😁
Ukitazama kwa jicho la mkamaria ndo unaziona hizo goli mbiliTumekutana tena saa 7 kama kawaida acha kipigwe.
Magoli 2+ nayaona leo
Nadhan anaangalia kupitia TBC🤣Diop hujamuona ?
Leo kazi ipo kwenuMe nipo Brazil aseee
Ni kweli kakaLeo Morocco tunaua mtu