moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,692
- 776,765
Labda avizie Kombe kisha akimbie naloMessi anachukua tena kiutani
Labda avizie Kombe kisha akimbie naloMessi anachukua tena kiutani
Dkk 120 hakuna shots on target 😂Wachezaji 11 ndani ya dakika 90 wana zero shot??
Kweli nimeamini panya wengi hawachimbi shimoView attachment 3633156
Raja mtalii tapeli 😂…raya kavaa gloves na alikuwa benchi mechi zote
Hajafika kvp na aliwahi kuchukua hy tuzoHuko hajafikia, Kombe la Dunia linamtosha
😂Messi got less touches (15) than Spain's goalkeeper (23) in the 1st half now
No one will say anything
View attachment 3633157
Tapeli wa kwanza ni huyuDkk 120 hakuna shots on target 😂
Hawa majamaa ni matapeli
Hakuna sherehe hapo wewe inawezekana ukawa unaumia kwa ndani maana umekuwa ukiwaponda sana wachezaji wa BarcelonaTulia wewe usiniharibie sherehe.
Sherehe yenyewe unaiona bado mbichi halafu unaanza kunichanganyia habari.
Hata hiyo moja mmeikosa 😂Spain wasitulaum, Argentina tunataka shot on target 1 tu tumalize mechi. Jambo lingine Spain wasijichanganye Argentina akaenda matuta, hakika MESSI 🐐 👑 atabeba tena kombe
Dkk 120Wachezaji 11 ndani ya dakika 90 wana zero shot??
Kweli nimeamini panya wengi hawachimbi shimoView attachment 3633156
Basi ni Yamal,Dembele au Olise hapo vipi?Bila trophy ni ngumu sana
SHAKIRA kaingia Fainali za World Cup nyingi kuliko Penado. ...hii ni maajabuHayo sio maneno mapya kwa wafuasi wa Messi View attachment 3633154
Ronaldo anashikilia rekodi ya kushiriki mara nyingi world cup na bila kushinda hilo tajiMessi ndiye mchezaji anayeshikilia rekodi kwa kupoteza fainali nyingi
Muone huyu??Hakuna sherehe hapo wewe inawezekana ukawa unaumia kwa ndani maana umekuwa ukiwaponda sana wachezaji wa Barcelona