Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,264
- 5,392
Kwa hizi dalili, Hii ndoo ni Kama inaenda Argentina
Mechi ilikuwa nzur imechangamka sio kama hii ya upande mmojaFrance aliyepigwa
Badala ya Messi unataka nani awekwe?Kwenye Ballon d'Or eti Messi ndio jina la kwanza.
Aaah kumamamake hizi tuzo zimekaa kindugunization na connection.
Bila kuwa na mtu kwenye system huwezi kupata.
Imagine hii mechi bado haieleweki Messi anacheza nafasi gani kiwanjani.
Unaweza kudhani labda mechi ya leo imechezeshwa na marefarii wawili uwanjani kwasababu wote hawagusi mipira japo mmoja unaweza kumuona kwenye faulo.View attachment 3633021
Unazani wanapenda wamezidiwa uwezo.Lazima uwe na plan na plan ni kupaki bus.Argentina wametuharibia finali . Ilitakiwa hapa watu wapishane mwanzo mwisho
Off target wanazo ngapi 😂Itakua aibu sana kama argentina watachukua hili kombe. Dakika zaidi ya 100 no shot on target!🙁
Spain wanachokifanya ni nini??Wako 8 uwanjan Messi hakuna analolifanya anszurura tu
Atakuwa mshabiki wa Portugal au Ronaldo anaona raha Argentina wanavyotaabikaUkali wake ni upi ?
So aibu ni historia wakishinda,spain washaanz kupanicItakua aibu sana kama argentina watachukua hili kombe. Dakika zaidi ya 100 no shot on target!🙁