Ameona haijiMessi mpaka saizi amegoma kuondoka uwanjani
Bado anasubiria apewe penati yakeView attachment 3633141
Hivi copa america amepoteza final ngapMessi ndiye mchezaji anayeshikilia rekodi kwa kupoteza fainali nyingi
Amevalishwa mkufu na TrumpMessi kapewa tuzo gani
Na ndivyo ilivyo.. haihitaji maelezo mengi mkuu.. Jamaa akiwa fit a hundred percent huwa hafai hata kidogoAnaweza akabeba balon dor nyingine
Naona upo kwenye heka heka za kuunganisha stuli na meza ili upate kitanda
Ronaldo nae kapewa nini huko?Ina fahamika ni Mbappe
Habari ya mjini ni GOAT wenu
Ulimbeba wewe?Kushinda kwa kubebwa tu
Merino. Wa Chelsea nani?Kuna chezaji lolote la arse8 limebeba wodi kapu???
🤣🤣🤣Spain wasitulaum, Argentina tunataka shot on target 1 tu tumalize mechi. Jambo lingine Spain wasijichanganye Argentina akaenda matuta, hakika MESSI 🐐 👑 atabeba tena kombe
It was an honor watching him play 🙌