Lakini mimi nalihesabuWamekataa
Emiliano Martinez ana saves 10
Tumeshambuliwa sana mamaeh
Ndugu yangu tunapumulia gesi
Mkuu hawa watoto hawajui mkuki baba anauficha wapi..Mtafungwa tu
Yaani tupigwe na Ferran Torres?Tulia mpigwe vizuri
Baadae utasikia wahuni wanasema tumebebwaKipa bora aliyepata changamoto za maana
🤣🤣 shikilieni mbupu tu, muda wowote kuanzia sasa zitapasuliwaNdugu yangu tunapumulia gesiView attachment 3633019
Ki VIP 🤣 si tunabebwa acha tubebweHilo sio goli ki vipi ?