Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,545
- 28,679
Bila trophy ni ngumu sanaTuzo tatu za moto
Bila trophy ni ngumu sanaTuzo tatu za moto
Maisha ni bahati, ronado timu yao kwenye kombe la DUNIA Haina historia yoyote ni ya kawaida zana…eti zubimendi anae medali ya world cup afu ronaldo hana
Naona upo kwenye heka heka za kuunganisha stuli na meza ili upate kitanda
weWe ndiye umeongea ukweli.Maisha ni bahati, ronado timu yao kwenye kombe la DUNIA Haina historia yoyote ni ya kawaida zana
Ameona haijiMessi mpaka saizi amegoma kuondoka uwanjani
Bado anasubiria apewe penati yakeView attachment 3633141
Hivi copa america amepoteza final ngapMessi ndiye mchezaji anayeshikilia rekodi kwa kupoteza fainali nyingi
Amevalishwa mkufu na TrumpMessi kapewa tuzo gani
Na ndivyo ilivyo.. haihitaji maelezo mengi mkuu.. Jamaa akiwa fit a hundred percent huwa hafai hata kidogoAnaweza akabeba balon dor nyingine