Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,366
- 10,393
Tupe na za wachezaji wa Barcelona leoMessi stats against Spain
0 goal
0 assist
0 shot
Na hizi ni stats za refa
0 goal
0 assist
0 shot
Conclusion: Messi hakuwa na filimbi leo na hicho ndio kitu pekee kinacho mtofautisha yeye na mwenzie
Timu ilionekana toka mechi dhidi ya austria ukajua tuu spain au france ndio wachukua ndooo.daaaaaah nipeni maua yangu jamani kila nilichotabiri humu kimetokea
Raha ya movie jambazi ife mwishoniHatimaye hater la Messi la muda mrefu leo una tafrija😃
..Zamu yenu kufanya niniWatoto wa malikia zamu yetu mwaka huu
Haha mkuu una rangi nyingi kuliko kuliko kinyongadaaaaaah nipeni maua yangu jamani kila nilichotabiri humu kimetokea
Teh teh 😃 😃 .... Uchawi huuHaki ya Mungu leo nimefurahi
View attachment 3633041
Tuzo tatu za motoHuyo Mbappé ondoa kwenye hiyo list hastahili kamaliza msimu trophyless
Hii kujipa moyo sasa 😹Gen Z wa Barça kaifanya Spain ichukue ubingwa. Hii ni shangwe kwa mashabiki wa Messi na Barça
Yamal katangulia kubeba WC kabla ya Ronaldo
Wachezaji 8 wa Barça waliokuwa kenye kikosi cha Spain wamebeba WC
Visca el Barça i Visca Catalunya!
Wamefika kihuni huni tu na uhuni wao umewagharimu leo nafikiri umeona tena na Paredes angekula moto na yeye.Mbona wamefika fainali kama hawachezi mpira ?..
Tulia wewe usiniharibie sherehe.Tupe na za wachezaji wa Barcelona leo
Easiest bracket, mechi ngumu ya Kwanza Ya Argentina ni nusu fainali, hawajakutana na mkubwa yoyote kabla ya hapo.Mbona wamefika fainali kama hawachezi mpira ?..
Tupe vigezo vyakoMbappe au Kane.
Uchawi??Teh teh 😃 😃 .... Uchawi huu
Aaaa wapi.Hii game tuone matuta tu. Itakuwa imebalance kabisa
..una maana gnYamal Worldcup 1
Mbappe 1
Messi 1
Rodri 1
2013 Ronaldo alibeba makombe mangapi ?Huyo Mbappé ondoa kwenye hiyo list hastahili kamaliza msimu trophyless