ππππKwakuwa tumeanza extra time, acha kichafuke tuone namna gani tunaenda kubeba taji
Ooh kumbe mambo yenyewe ndo yapo hivyo?Wangeshinda tungesikia ,Rais wao ni myahudi π π π Argentina anamuunga mkono Israel kwa hiyo kabarikiwa ..
Naona post zimezimwa mpaka sasa π π π Walishaanza leo wanasapot Argentina mayahudi wote.
Wale watoto ni nyoko aisee.. zinapigwa one two hadi unajiuliza mbona adabu hawana? Au kwao hamna wakubwaJanjajanja fc
Mmefedheheka sana
Bebwabebwa FC
Ona Gen Z wanavyodhalilisha vikongweee πππππ
DaaahHatimae mbeleko imechanika
Yamal>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>PenaldoGen Z wa BarΓ§a kaifanya Spain ichukue ubingwa. Hii ni shangwe kwa mashabiki wa Messi na BarΓ§a
Yamal katangulia kubeba WC kabla ya Ronaldo
Wachezaji 8 wa BarΓ§a waliokuwa kenye kikosi cha Spain wamebeba WC
Visca el BarΓ§a i Visca Catalunya!
PENaldo??Yamal Worldcup 1
Mbappe 1
Messi 1
Rodri 1
Uende na nani?Vamos Argentina.
Twende kazi wanangu.
Huyo MbappΓ© ondoa kwenye hiyo list hastahili kamaliza msimu trophylessMbappe au Kane.
2030 anarudi akiwa na miaka 45 lazima abebePENaldo??
Mbona wamefika fainali kama hawachezi mpira ?..Parades chezaji jinga sana,Argentina wamejaa wahuni wahuni ukimuondoa Messi hayachezi mpira bali upumbavu wa kurukiana mwilini tu.
Hatimaye hater la Messi la muda mrefu leo una tafrijaπThe one who laughs later laughs better
Lapulga akicheza dhidi ya AlgeriaWe jamaa bhana...
Haishangazi na sio jipya...
Hata Mbape mwaka 2018 ilikuwa hivyo...
Limeshavuka πNaomba Mungu iwe hivi aisee , bila shaka Argentina ata chukua