Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,152
- 132,185
We ndio unaona leo?Otamendi muongo muongo huyu jamaa
Wenzio tumeyasema sana humu
We ndio unaona leo?Otamendi muongo muongo huyu jamaa
Kombe la mbeleko😂
Daah mwamba kweli huwapendi ArgentinaPurukushani za mtu anayebakwa hazina maana yeyote.
Kwasababu mitikisiko yeyote haitaonekana kama jitihada za kujinasua bali ataonekana kama anaukatikia.
Nitoe kwenye upuuzi wenu wa uteam sijui nani😂😂😂😂 Umeanza kujamba, acha uoga team ronado hii mmebeba
😹😹😹 Mbappe muda huo yuko wapi?Greatest Of All Time alikuwa anaweka gap kwenye analysis yake ya Top Scorer 🤣🤣🤣