Ndiyo na ikitokea hivyo nitajua kuwa mpira ni utapeli na uchawi wa wazi wazi, nitaacha rasmiUna miaka 22 sio kosa lako mkuu
😂😂😂Sio timu yangu lakini Argentina kupoteza ni furaha sana
Unaambiwa ametembea zaidi ya kilometa 60Messi kumbe yupo?
Watu jamani mmekuwa wasiri
Ameingia saa ngapi huyu bwana?