joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,446
- 41,607
Hii Spain ingekuwa na Striker level za villa au Ferdinando Torres, wangemaliza mechi ndani ya dk tisini.
Nayaweza yote kwa yeye anitiaye nguvu🤣🤣 shikilieni mbupu tu, muda wowote kuanzia sasa zitapasuliwa
France aliyepigwaFainali ilikuwa France vs Spain , sijawahi ona fainali mbovu kama hii
Unaumia ukiwa wapi ndugu mjumbe?Poor you
Sijui kuhusu habari za kubebwa swali la msingi lile sio goli ki vipi ?Ki VIP 🤣 si tunabebwa acha tubebwe
Mkuu hapo ulipo unafatilia mechi kupitia Redio kwani?Nini kimezuia hilo goli?
Fainali kali unasema mbovuFainali ilikuwa France vs Spain , sijawahi ona fainali mbovu kama hii
Hata Ronaldo wa 41 hizi cross angefungaHii Spain ingekuwa na Striker level za villa au Ferdinando Torres, wangemaliza mechi ndani ya dk tisini.
Ukali wake ni upi ?Fainali kali unasema mbovu
Mechi ilikuwa nzur imechangamka sio kama hii ya upande mmojaFrance aliyepigwa