2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Machawa nilijua ni bongo tu

Baba levo wa Argentina wana shauti Messi

Afadhali wangemtaja Martinez
 
Wazee wa 1.5 over kama nawaona vile mkiwa na hasira ila hamuwezi kusema kwasababu ni hasara iliyoletwa na mchezaji wenu.

View attachment 3633014
Mkuu unakumbuka game moja uefa Barca vs Chelsea ilikuaje? Nadhani nusu fainali uefa. Barca waliupiga haijawahi kutokea. Lkn walitupwa nje.

Game ya juzi tu hapa Arsenal vs PSG unajua nini kilitokea.
 
Kwenye Ballon d'Or eti Messi ndio jina la kwanza.

Aaah kumamamake hizi tuzo zimekaa kindugunization na connection.

Bila kuwa na mtu kwenye system huwezi kupata.

Imagine hii mechi bado haieleweki Messi anacheza nafasi gani kiwanjani.

Unaweza kudhani labda mechi ya leo imechezeshwa na marefarii wawili uwanjani kwasababu wote hawagusi mipira japo mmoja unaweza kumuona kwenye faulo.View attachment 3633021
Argentina hakuweza kukutana na timu ngumu.

Timu yao ni ya kawaida tu.

England ni ujinga wao tu kuwaza kushikilia bomba mapema.
 
Break the huddle

Leo hamtoboi

1784497275328.png
 
Back
Top Bottom