2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kataeni na hilo



Goli bora la mashindano limefungwa fainali
 
Mbio za Janjajanja huishia uliongoni
Kweli hakuna janjajanja zisizo na ncha😂😂😂😹😹😹😹😹😹
Timu limebebwa bebwa huko nyuma

Ona halinapiga on target hata moja 120minutes

Wote tunaona final ilivyo unachezwa upande mmoja

Kwa sababu tu kuna litimu lilipitapita kijanja
Halikustahili kufika final
 
Back
Top Bottom