Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,100
- 41,720
Kwavile spain nao hawajui kuusoma mchezo ??? ππππSawa tunajua Argentina wanaanza kucheza kuanzia dk 75.
Hatuna presha broπ
Babu wa Kireno ni legend tayari πNaomba Argentina ifungwe ili na mashabiki wa kireno wapate faraja mana mtu wao anastaafu bila hata fainal ya wc
Hizi spana zako kwa messi nazikubali [emoji28]Anacheza kamzidi hadi Messi [emoji81]
Mi leo naangalia tu kiuno cha Shakira. Shakira akinipa haki ya nani sigusi tena mdada mwingine mpaka kifo.Leo Messi anastaafishwa rasmi na kinyago alichokichonga mwenyewe πΉ
Mpaji Mungu japo France tumetolewa lakini tuko Spain au sio?
Wafuasi wa Ronaldo ni kama wametolewa ubongo, watu waliosomea ualimu wanaita TABULA RASA aka Empty set.. FIKAJAPO NAFIMO.Ni kama kawachukua msukule, ni kama wafuasi wa mwamposa
Na Shakira ni millenia ππShakira ni mtihani
Presha ipo juu mkuu ?πHii mechi dawa yake unalewa halafu unalala,
Asubuhi ndio unaangalia matokeo bila wasi wasi wowote ule.
Dogo anajua mwamba ni RonaldoHuyo dogo ana balaa
Hakucheza hivyo alipokutana na Ronaldo
Dogo anaoenekana kumuheshimu sana Ronaldo kuliko Messi
Ni kama ana hasira binafsi huwenda kile kipindi Messi anamuogesha kwenye beseni inaonekana alitumia sabuni ya magadi.
Na hicho kitu dogo ni kama hakupenda , Messi alijua dogo hajui kumbe dogo aliweka kifuani tangu siku ile ili aje alipe leo.
πΉπΉπΉHizi spana zako kwa messi nazikubali [emoji28]
Haja complete game yake, Kuna kitu kimoja kimemisi ili kufika level za messiBabu wa Kireno ni legend tayari π
Akili za kibongo hiziπBurna boy anashindwaje kushika kiuona cha Shakira?
Wallah, loyalty yao imezidi kiwango, hata uwaletee takwimu wao wanaishia kukujibu na emoji za mbuzi tu ππNi kama kawachukua msukule, ni kama wafuasi wa mwamposa
Hili zee lina gundu sana na worldcup aisee
HaswsaππAnacheza kamzidi hadi Messi πΉ
π π π π πMi leo naangalia tu kiuno cha Shakira. Shakira akinipa haki ya nani sigusi tena mdada mwingine mpaka kifo.
Ubora wa Argentina unaonekana zaidi zile nyakati ambazo mpinzani amekuwa dhaifu au mzembe.Ukitaka uone udhaifu wa argentina omba spain apate gori alafu uone msako utakaopigwa.....timu penadol acheni makasiriko Argentina ni timu strong sana
Shakira ni fireee anacheza kuliko Messi leo πΉπΉMi leo naangalia tu kiuno cha Shakira. Shakira akinipa haki ya nani sigusi tena mdada mwingine mpaka kifo.