Huyo dogo ana balaaGenZ Yamal ana jambo lake π₯π₯π₯
Sio kinyonge namuheshimu Messi japo sio shabiki wa Argentina katika haya mashindano bali SpainMbona kinyonge sasa πΉ
Tema mate tuwachape Gen Z
Haipo iliyo kaa vibaya, ila kwa upande huu hii imekaa poa sana πNi ipi hiyo imekaa vibaya π
ππSawa tunajua Argentina wanaanza kucheza kuanzia dk 75.Argentina wanausoma mchezo bado,
Msiwe na pressure.
Daah mkuu humkubali Messi kabisaHuyo dogo ana balaa
Hakucheza hivyo alipokutana na Ronaldo
Dogo anaoenekana kumuheshimu sana Ronaldo kuliko Messi
Ni kama ana hasira binafsi huwenda kile kipindi Messi anamuogesha kwenye beseni inaonekana alitumia sabuni ya magadi.
Na hicho kitu dogo ni kama hakupenda , Messi alijua dogo hajui kumbe dogo aliweka kifuani tangu siku ile ili aje alipe leo.
ππ kwamba Shakira kacheza kuliko RonaldoShakira yupo anatumbuiza live π₯ π₯ π₯ π₯
Shakira wc final appearance 3
Cristiano wc final appearance 0
Lisandro jau kweli na mimi nimeona kaamua kukwepa aibu bora ajifanye kaumia.. πΉLeo kama vile hayupo, hali ni tete, Lisandro naye kaona tabu ya nini nisije kupata red bure kaingia mitini
Ndio kaonekana kwenye fainal za wc nying kuliko ronado, siunaona hapo ?ππ kwamba Shakira kacheza kuliko Ronaldo
Sawa Twin πHaipo iliyo kaa vibaya, ila kwa upande huu hii imekaa poa sana π
Anacheza kamzidi hadi Messi πΉShakira ni mtihani
Sasa si wanatumia make up Mzee?!!!Shakira yupo anatumbuiza live π₯ π₯ π₯ π₯
Shakira wc final appearance 3
Cristiano wc final appearance 0
Kaona red haipo mbali kaona isiwe kesiLisandro jau kweli na mimi nimeona kaamua kukwepa aibu bora ajifanye kaumia.. πΉ