Ila hawa madogo wa spain wanacheza aiseeHuyo andunje leo anapewa kipigo na team yake.. we tulia ujionee..!
Hio ndio ArgentinaHuyu jamaa kashika mpira makusudi ajalambwa hata yellow ? How
Watu tunaongelea kiwango cha YamalKwahiyo kombe litaenda kwa atakaye cheza vizuri tu sio?
Binafsi nashangaa!!!Huyu jamaa kashika mpira makusudi ajalambwa hata yellow ? How
Napendelea kusoma zaidi pande hizi crush, vipi uko upande gani kwanza?Umetoka wapi sijawahi kukuona huku🙄
Kakubali yaishe?Jmn si amestaafu au?
Mimi naongelea magoli,kwani lazima niongelee unachokiongelea wewe?Watu tunaongelea kiwango cha Yamal
Chagua sasa bado 0-0Daaah shawarma,umenikumbusha znz.
Wanasema team Messi na team yamalChagua timu ukishinda itabidi niusindikize usiku wako na shawarma ya ngamia.
Na refa kaona kabisa sasa huu ni mpira wa miguu au NFLBinafsi nashangaa!!!
Hao mayanki wanashambulia sio poa leo andunje kazini kwake kuna kazi…!! 😹Ila hawa madogo wa spain wanacheza aisee
Pamoja na yote wana mpira
Bonge la mchezaji huyo ila ana goli 1 tu mpaka sasa.Huyu Yamal angepewa kiatu cha ugoko maana ana kiherehere