Weka ya kwakoMechi bora England Vs Argentina 😃
Ile ilikuwa mechi ya mpira wa miguu au mashindano ya kurukiana mwilini ?
Ni kwa mujibu wa chanzo gani hiki?Timu iliyofeli kufikia malengo: Ureno
Umeanza kusoma kuanzia pale juu?Ni kwa mujibu wa chanzo gani hiki?
NdiyoUmeanza kusoma kuanzia pale juu?
Safi.Kwa Upande wangu mpaka sasa
Mfungaji bora: ?? (Tusubiri fainali)
Mchezaji bora: Lionel Messi
Mchezaji bora chipukizi: Curbasi
Golikipaa bora: Unai Simon
Goli Bora: Lopes Cabral, Cape Verde Vs Argentina
Mechi Bora: England Vs Argentina
Ushangiliaji bora: Norway
Timu iliyofeli kufikia malengo: Ureno
Timu iliyonishangaza: Norway
Mchezaji aliyeonyesha kiwango cha chini : Bruno Fernandes
Game plan hiyo mkuu. Kingine kwa game mbili alizoanza Fabian Ruiz katengeneza combination kali na Rodri pale kati. Huku Olmo akiwajambisha pale juu.OFFICIAL: PEDRI HAS BEEN BENCHED AGAIN!
View attachment 3632924