ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,848
- 46,595
Ngoja tuchek game sasaUnaona na unafeel vibe poa sana
Ngoja tuchek game sasaUnaona na unafeel vibe poa sana
Anasema Kombe hilo sawa na Euro😀😀😀*****😀😀Hicho kitendo kilichofanywa na iniesta kuwakilisha hispania na huyo jamaa wa Argentina kitakuja fanywa na Lionel Messi ila hatokuja onekana CR7 miaka 100
HakikaSawa.
Safari inahitimishwa leo
Hata mimi Argentina wamenitoka kabisa kutokana na ubaguzi wao.Racism ilianza hivyo hivyo kwa ku refer vitu vibaya na rangi nyeusi.
Ndio maana leo ukichorewa picha ya shetani lazima awe mweusi.
Pengine ndio sababu nyingine inanipa confidence kutoshabikia Argentina kwasababu ya racism
View attachment 3632938
👃🙏🙏🙏Kwa Rehema za Mwenyezi Mungu tutakuwepo.
Inshalaaah
SawaRacism ilianza hivyo hivyo kwa ku refer vitu vibaya na rangi nyeusi.
Ndio maana leo ukichorewa picha ya shetani lazima awe mweusi.
Pengine ndio sababu nyingine inanipa confidence kutoshabikia Argentina kwasababu ya racism
View attachment 3632938
Kwakweli hasa nyie wanaume wenye ndoa kuna namna mtakua mlipwaya hukoSafari ya kulala kama popo