2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

All eyes on you
1784486334291.png
 
Timu yangu niliyoanza nayo ni Ufaransa.
Imetolewa hatua ya nusu fainali na Spain.
Na jana kwenye kutafuta mshindi wa tatu imepata kipigo cha aibu.
Maisha yataendelea hata baada ya kipigo.

Leo nasimama na Spain.
 
Timu yangu niliyoanza nayo ni Ufaransa.
Imetolewa hatua ya nusu fainali na Spain.
Na jana kwenye kutafuta mshindi wa tatu imepata kipigo cha aibu.
Maisha yataendelea hata baada ya kipigo.

Leo nasimama na Spain.
Spain na Argentina sizipendi zote.

Japo kijana wangu ni Argentina lia lia...
At the age of 7.

No way! Wasishinde.

Spain watasaidia kulipiza kisasi cha Dunia.
 
Mkuu una roho nyeusi kama giza😃
Racism ilianza hivyo hivyo kwa ku refer vitu vibaya na rangi nyeusi.

Ndio maana leo ukichorewa picha ya shetani lazima awe mweusi.

Pengine ndio sababu nyingine inanipa confidence kutoshabikia Argentina kwasababu ya racism
1784486813362.png
 
Back
Top Bottom