Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,753
Tupo, uzuri wa Messi yeye Hana shida na records anachotamka timu kwanza ipate ushindiArgentina mpo?
Tupo, uzuri wa Messi yeye Hana shida na records anachotamka timu kwanza ipate ushindiArgentina mpo?
Miaka hii wewe ulikuwa bado hujaanza kushabikia mpira au ulikuwa tayari ila ni ule upepo wa Messi ulikuwa bado.Ronaldo hana world cup kama akina Ramadhan Chobwedo tu... Baadae ndo utapata stress zaidi.
Argentina 3 anapatia, Spain zile beki japo hazijaruhusu magoli mengi lakini hakuwa zimekutana na Messi.Argentina 2 Spain 1
Kwenye kundi la GOAT naye yumoUbishi wa Messi huwa unalazimishwa tu, hata wenyewe wanaobisha wanajua ukweli kuwa ni GOAT. Ronaldo ni Bora lakini hawezi kuwa level ya Messi kamwe. Hili Mimi nilishaligundua tokea 2012. Mimi ni shabiki wa man utd lakini niligundua ubora wa Messi toka 2012 nikaacha ujinga
TupoooooArgentina mpo?
Safii 🔥🔥🔥Tupo, uzuri wa Messi yeye Hana shida na records anachotamka timu kwanza ipate ushindi
Yeah Leo ndio kwenye we Jana ilikua ndondo ileSafii 🔥🔥🔥
Jana nilikua mshika mawili nilikua nataka England afungwe huku sitaki Mbappe afiki zile bao 10
Kiufupi ya jana yalikua hayanihusu
Leo ndio penyewe🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥Tupooooo
Infantino ndio alifanya Ronaldo asiwafunge congo? Akamzuia Ronaldo pia asishinde mechi na Colombia? Akamzuia pia asiende robo fainali?Miaka hii wewe ulikuwa bado hujaanza kushabikia mpira au ulikuwa tayari ila ni ule upepo wa Messi ulikuwa bado.
Haya ni maisha yake kabla ya Gianni InfantinoView attachment 3632780View attachment 3632781
Saa 5 tukutane kwenye huu uzi kwa shuhudaIkiwa tofauti? Wenzako walibweka post nyingi mara bingwa France, mara bingwa England. Mpira haupo hivyo ndio maana mnaumia sana sababu mnakua na matokeo yenu kabla
Mdogo angu kwa taarifa yako mm ni age go toka miaka ya tisini enzi za akina Ronaldo De Lima.. miaka ya 2000 enzi hizo Akina Luis Figo wananyang'anyana ballon d'Or na akina Francisco Totti. Mpaka kizazi cha mwisho mwisho cha akina Pavel Nedved, Andriy Chevshenko na wengine mpaka hawa akina Messi na Ronaldo.. Unavyoniletea story ya juzi hapa it seems we ni mtoto... The way ulivyo ileta hiyo conversation nimegundua ww ni bwana mdogo sanaMiaka hii wewe ulikuwa bado hujaanza kushabikia mpira au ulikuwa tayari ila ni ule upepo wa Messi ulikuwa bado.
Haya ni maisha yake kabla ya Gianni InfantinoView attachment 3632780View attachment 3632781
Unafahamu nacho kizungumza leo, kiliwahi kuzungumzwa na Messi miaka 7 iliyopita?Infantino ndio alifanya Ronaldo asiwafunge congo? Akamzuia Ronaldo pia asishinde mechi na Colombia? Akamzuia pia asiende robo fainali?
Sawa mkongwe nakubali wewe ni age go na kupitia ukongwe wako nataka niutumie kufanya kumbukizi ya baadhi ya mambo ambayo vijana wa sasa hawakuwahi kuyashuhudia.Mdogo angu kwa taarifa yako mm ni age go toka miaka ya tisini enzi za akina Ronaldo De Lima.. miaka ya 2000 enzi hizo Akina Luis Figo wananyang'anyana ballon d'Or na akina Francisco Totti. Mpaka kizazi cha mwisho mwisho cha akina Pavel Nedved, Andriy Chevshenko na wengine mpaka hawa akina Messi na Ronaldo.. Unavyoniletea story ya juzi hapa it seems we ni mtoto... The way ulivyo ileta hiyo conversation nimegundua ww ni bwana mdogo sana