2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Haya chukua na hii hahaha

View: https://youtu.be/sQfTC1GYvRU?si=PcSTx_2KFl6DM0n8

Tena kwenye hii clip delima anasema kabisa alipofikia Messi anashindwa kusema yupo namba ngapi kati ya pele maradona na Messi mwenyewe
.😄😄😄

Yaani Messi anaweza kuwa hata #1

Weee jamaa Messi ni habari nyingine

So kama delima amecheza mpira Tena kwenye level kubwa ya mafanikio ana ukubali uwezo wa messi nakuona kwamba hata yeye mwenyewe hafikii level za Messi wewe Scars ni nani hasaa mpaka upinge wakati haujawahi kucheza hata league ya mbuzi mpira hauujui

Punguza jealous 😄😄
 
Sasa hiyo ni ya lini?

Tuanze kufanya hata comparison ya muda.

Sio kama namkubali huyo FatNaldo ila najaribu kuweka sawa confession aliyoifanya wiki chache zilizopita dhidi ya tuhuma nzito kama hizi.
 
Issue ni kwamba alisema au hakusema !?

Kwahiyo hao watu wote waliopo studio hapo + romario ni staged!?

Nimekutumia video 3 na zote ni za mtu mmoja so it means hizo video zote delima alilishwa maneno !? Hakusema yeye hayo maneno !?

Now amekuwa fatnaldo Tena !? 😄😄😄

Kisa amem praise Messi kuliko yule mbuzi wenu wa kwenye makaratasi !!!

Wewe tulia subiri muda ufike saa 4 hapo ukajifunze jinsi ya kudriblee mpira kupiga cross nutmeg faulo and the likes Toka Kwa little magician Lionel Messi
 
Issue ni kwamba alisema au hakusema !?

Kwahiyo hao watu wote waliopo studio hapo + romario ni staged!?
Alisema lini?

Ishu ya kujua muda aliosema nayo ni muhimu.

Kwasababu tumeona hata Kevin Prince miezi michache kabla ya World Cup akisema aliwahi kulazimika kukubali Messi ni bora kuliko Ronaldo ili aweze kucheza Barcelona.

Nachotaka wewe ujue ni kwamba, kukubali kwake au madai yake yeyote hayawezi kubadilisha reputation ambayo Ronaldo anayo.

Mashabiki wa Messi mwaka 2016 walisema Messi ni GOAT na wala hahitaji kubeba kombe la dunia kuthibitisha hilo.

Wakaenda mbali na kusema hata Ronaldo akichukua kombe la dunia bado haitamuondolea sifa ya GOAT.

Hii ndio mentality ambayo mlikuwa nayo na ambayo hata sisi tumekuwa nayo.

Kwa hiyo unaponiletea maoni ya Delima sio kama yanaenda kuongeza chochote kwenye msimamo wako au wangu ila pale ambapo naona kuna upotoshaji au miss quote lazima niweke sawa hata kama ukweli huo hauendi kubadilisha chochote.

Ronaldo Delima wiki tatu zilizopita alikuja kukanusha hayo madai ambayo wewe saizi unamuhusisha nayo.

Alisema hakuwahi kumtaja Messi kama GOAT wala kumtaja kama ni bora kuliko Ronaldo.

Bali ni ajenda za waandishi wa gazeti Depotivo ambao walikuwa wanazifanya ili kumpa mileage Messi aonekane kukubalika na malegend wengi dhidi ya Ronaldo.
 
Haya chukua na hii hahaha

View: https://youtu.be/sQfTC1GYvRU?si=PcSTx_2KFl6DM0n8

Tena kwenye hii clip delima anasema kabisa alipofikia Messi anashindwa kusema yupo namba ngapi kati ya pele maradona na Messi mwenyewe
.😄😄😄

Yaani Messi anaweza kuwa hata #1

Weee jamaa Messi ni habari nyingine

So kama delima amecheza mpira Tena kwenye level kubwa ya mafanikio ana ukubali uwezo wa messi nakuona kwamba hata yeye mwenyewe hafikii level za Messi wewe Scars ni nani hasaa mpaka upinge wakati haujawahi kucheza hata league ya mbuzi mpira hauujui

Punguza jealous 😄😄

2022 mlisema mjadala wa GOAT umeisha baada ya Messi kutwaa kombe la dunia.

Leo tena ni kama mnasubiria achukue kombe la 2 hili mje na kauli ile ile ya mwaka 2022 kuwa mjadala wa GOAT umeisha.

Umeona ishu hiyo?

Hiyo ndiyo inayofanya mimi niendelee kumkubali Ronaldo kwasababu ameonyesha hakuna mafanikio ambayo mchezaji wako atapata yatatosha kuweza kumaliza mjadala wa kumfananisha yeye na mchezaji wako.

Ndio maana mimi nasema Messi jina GOAT peke yake halimtoshi kuweza kuelezea hadhi yake ya kisoka.

Round hii akichukua World Cup ya pili zawadi ya kipekee sio kumuita GOAT ni kumuita Ronaldo.
 
Alisema lini?

Ishu ya kujua muda aliosema nayo ni muhimu.

Kwasababu tumeona hata Kevin Prince miezi michache kabla ya World Cup akisema aliwahi kulazimika kukubali Messi ni bora kuliko Ronaldo ili aweze kucheza Barcelona.

Nachotaka wewe ujue ni kwamba, kukubali kwake au madai yake yeyote hayawezi kubadilisha reputation ambayo Ronaldo anayo.

Mashabiki wa Messi mwaka 2016 walisema Messi ni GOAT na wala hahitaji kubeba kombe la dunia kuthibitisha hilo.

Wakaenda mbali na kusema hata Ronaldo akichukua kombe la dunia bado haitamuondolea sifa ya GOAT.

Hii ndio mentality ambayo mlikuwa nayo na ambayo hata sisi tumekuwa nayo.

Kwa hiyo unaponiletea maoni ya Delima sio kama yanaenda kuongeza chochote kwenye msimamo wako au wangu ila pale ambapo naona kuna upotoshaji au miss quote lazima niweke sawa hata kama ukweli huo hauendi kubadilisha chochote.

Ronaldo Delima wiki tatu zilizopita alikuja kukanusha hayo madai ambayo wewe saizi unamuhusisha nayo.

Alisema hakuwahi kumtaja Messi kama GOAT wala kumtaja kama ni bora kuliko Ronaldo.

Bali ni ajenda za waandishi wa gazeti Depotivo ambao walikuwa wanazifanya ili kumpa mileage Messi aonekane kukubalika na malegend wengi dhidi ya Ronaldo.
So hiyo video clip aliyo chukuliwa na TMZ wakati anatokea hotel pia ilikuwa ni agenda ya TMZ ili kumfanyia Messi Pr apate kuonekana kwamba anakubalika na malegend wengi kuliko Ronaldo!?

Hiyo video clip uliyopost wewe still inaacha maswali sana isije kuwa mmechezesha AI 😄😄

DELIMA yupo so humble Tena sana hawezi kuongea huo ujinga

Kuna video Moja yupo na speed aliulizwa swali kuhusu Messi na cr7 nani zaidi

Akajibu kwamba ana wapenda wote so delima ni muungwana sana acheni kumlisha maneno aisee team Ronaldo mnashida Gani nyie 😄

Nikweli sisi tuna utambua ukubwa wa Messi kitambo sana sio kwaajili ya WC tu ,

Kinacho tufanya tuzidi kuwa na furaha baada ya kushinda WC ni kwasababu mlikuwa mmetengeneza conspiracy theory kwamba Messi soo GOAT Kisa Hana WC Wala kombe lolote kubwa la kimataifa

Dunia sio ya athumani Wala sio ya Scars ghafla meza ika turn upside and down jamaa Akaanza kushinda vikombe vikubwa vyote vya kimataifa.. suddenly nyie hao hao now mnasema CR7 ni goat hata kama Hana WC wakati zamani mlikuwa mnasema Messi hawezi kuwa GOAT kwasababu Hajaisadia team yake kubeba kombe kubwa la kimataifa what an insanity
 
Issue ni kwamba alisema au hakusema !?

Kwahiyo hao watu wote waliopo studio hapo + romario ni staged!?
Watu wakiwa studio sio big deal.

Studio ni platform ambayo hata wachambuzi wenye bias au personal beef na wachezaji wengine wanaweza kusimama.

Kuna Zlatan na Thierry Henry hao pia wanakuwaga studio.
 
So hiyo video clip aliyo chukuliwa na TMZ wakati anatokea hotel pia ilikuwa ni agenda ya TMZ ili kumfanyia Messi Pr apate kuonekana kwamba anakubalika na malegend wengi kuliko Ronaldo!?

Hiyo video clip uliyopost wewe still inaacha maswali sana isije kuwa mmechezesha AI 😄😄

DELIMA yupo so humble Tena sana hawezi kuongea huo ujinga

Kuna video Moja yupo na speed aliulizwa swali kuhusu Messi na cr7 nani zaidi

Akajibu kwamba ana wapenda wote so delima ni muungwana sana acheni kumlisha maneno aisee team Ronaldo mnashida Gani nyie 😄

Nikweli sisi tuna utambua ukubwa wa Messi kitambo sana sio kwaajili ya WC tu ,

Kinacho tufanya tuzidi kuwa na furaha baada ya kushinda WC ni kwasababu mlikuwa mmetengeneza conspiracy theory kwamba Messi soo GOAT Kisa Hana WC Wala kombe lolote kubwa la kimataifa

Dunia sio ya athumani Wala sio ya Scars ghafla meza ika turn upside and down jamaa Akaanza kushinda vikombe vikubwa vyote vya kimataifa.. suddenly nyie hao hao now mnasema CR7 ni goat hata kama Hana WC wakati zamani mlikuwa mnasema Messi hawezi kuwa GOAT kwasababu Hajaisadia team yake kubeba kombe kubwa la kimataifa what an insanity
Uzuri wa hii clip niliiweka mapema humu na haikuwa katika mabishano ambayo kama haya ambayo ungeweza kusema niliitumia kama sehemu ya kupinga baadhi ya tuhuma.

Ndio maana nikakuwekea link ya post.
 
Back
Top Bottom